Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Elimu zilizotolewa ni pamoja na maana ya ukatili, aina za ukatili pamoja na mifano yake, sababu zinazopelekea ukatili katika jamii, athari za ukatili, jinsi ya kuepika ukatili na namna ya kutoa taarifa kulingana na ngazi za kiserikali#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #…
Posted:
Katika juhudi za kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki yake bila vikwazo vya kifedha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa gharama zote za huduma za msaada wa kisheria ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma hiyo bure kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya…
Posted:
"Tusiiache fursa hii ipite bila kuitumia ipasavyo. Serikali imeshafanya kazi kubwa ya kuweka huduma hizi kwetu, sasa ni jukumu letu kuzitumia kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo," aliongeza. Mchungaji shikela
Posted:
Mwabukusi ameongoza zoezi la utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi jijini Arusha, likiwa ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha haki na usawa vinapatikana kwa wote. Wananchi wamepata fursa ya kupata ushauri wa kisheria, kuelewa haki zao, na kupata mwongozo wa kisheria kutoka kwa…
Posted:
Mafanikio yameendelea kuonekana baada ya wananchi wengi kufika na kupata ufumbuzi wa changamoto zao za muda mrefu na mfupi.Sambamba na hayo, Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Boniface Anyisile Kajunjumela Mwabukusi ameonesha ushirikiano wa kutosha kwa kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la…
Posted:
Elimu ya msaada wa kisheria ikitolewa kwa wanafunzi wa shule ya msingi Msufini iliyopo kata ya kilindoni, wilaya ya mafia na wataalamu tofauti wa Mslac akiwemo polisi kata, afisa dawati la Jinsia, wanafunzi na watumishi kutoka jeshi la polisi, Maafisa dawati la msaada wa kisheria wilaya ya Mafia,…
Posted:
Katika Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayoendelea katika Uwanja wa TBA mkoani Arusha, wananchi wameendelea kufurahia jinsi migogoro yao inavyoshughulikiwa kwa haraka na kwa haki. Akizungumza Jumatano Machi 05, 2025 katika shughuli hiyo, Chifu Anthony Thadeo (Chifu Kapufi III)…
Posted:
📢 Padre Apata Haki! | Msaada wa Kisheria wa Mama Samia Wamrejeshea Eneo Lake  Padre mmoja aliyedhulumiwa eneo lake hatimaye ameweza kurejeshewa haki yake kupitia huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayoendelea mkoani Arusha. 🌍⚖️   Katika juhudi za kuhakikisha haki inapatikana…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akisikiliza mgogoro wa ardhi kutoka kwa mwananchi jijini Arusha. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuhakikisha haki za ardhi zinalindwa na migogoro inatatuliwa kwa haki na uwazi. Tazama jinsi Waziri anavyoshughulikia suala hili kwa kuhakikisha…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, aagiza wasaidizi wa Mkuu wa Wilaya kuandaa wito kwa mtu aliyenunua ardhi bila ridhaa ya mmiliki halali. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kusimamia haki za wananchi katika umiliki wa ardhi na kuhakikisha sheria zinafuatwa. Tazama hatua…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akimpatia elimu ya mirathi mwananchi anayesimamia urithi wa familia yake. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutoa elimu ya sheria ili kuhakikisha haki na usawa vinazingatiwa katika masuala ya mirathi. Tazama maelezo muhimu kuhusu usimamizi wa…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, Amsaidia mama anayepigania haki ya kulelewa mtoto wake kwa kumpatia msaada kupitia mtaalamu wa Dawati la Jinsia. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuhakikisha haki za wananchi, hususan wanawake na watoto, zinalindwa na kutekelezwa ipasavyo. Tazama…