Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
👉 Huduma ya Msaada wa Kisheria BURE inakuja kwa nguvu! Unakabiliwa na changamoto za kisheria kama migogoro ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira, ukatili wa kijinsia, mikataba, au kesi za jinai?    MSLAC (Samia Legal Aid Campaign) inakuletea Msaada wa Kisheria BURE siku ya Ijumaa, Tarehe…
Posted:
Kisarawe, 28 Februari 2025 – Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inaendelea kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi wa vijijini, ambapo hivi karibuni imefika katika Kijiji cha Kisangile, Kata ya Masaki, wilayani Kisarawe. Katika uhamasishaji huu, wananchi wamepata fursa ya…
Posted:
Mkuranga, Pwani – Mpango wa Msaada wa Kisheria wa Samia (MSLAC) umeendelea kuwafikia wananchi kwa kutoa elimu ya msaada wa kisheria, ambapo safari hii wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Mwandege, iliyopo katika Kijiji cha Mwandege, Kata ya Mwandege, Halmashauri ya Mkuranga, wamepata mafunzo…
Posted:
Elimu hiyo ililenga kuwajengea ufahamu wa haki zao za msingi na jinsi ya kushughulikia changamoto zinazohusiana na masuala ya sheria.
Posted:
Wakazi wa Mkoa wa Arusha wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika kampeni ya msaada wa kisheria iliyoanzishwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, kampeni ambayo ilizinduliwa rasmi leo mkoani humo. Kampeni hii inalenga kuwawezesha wananchi kwa kuwapa elimu kuhusu haki zao za kisheria na kusaidia…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria nchini Tanzania imezidi kushika kasi, ikiwalenga wananchi wa kawaida kwa kuwapatia elimu ya sheria na msaada wa kisheria bure. Kampeni hii, inayoendeshwa chini ya mwamvuli wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC), inalenga kuhakikisha kuwa haki inapatikana kwa…
Posted:
Mbarali, Mbeya – Wananchi wa Kijiji cha Mayota, Kata ya Legelele, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, wamepata fursa ya kupokea elimu ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), inayolenga kuwawezesha wananchi kuelewa haki na wajibu wao kisheria.  Elimu hiyo…
Posted:
Kibaha, 25 Februari 2025 – Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imewasili katika Halmashauri ya Kibaha Mji na kuripoti rasmi katika Ofisi ya Mkurugenzi kwa lengo la kujitambulisha na kuwasilisha ratiba ya utekelezaji wa kampeni hiyo kabla ya kuanza ziara za kutoa elimu na…
Posted:
Lindi, Tanzania – Wananchi wa mtaa wa Kitumbikwela, kata ya Kitumbikwela ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, wamepata fursa ya kupokea msaada wa kisheria kupitia Timu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC). Hatua hii ni sehemu ya jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa…
Posted:
Mtama, Lindi – Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign - MSLAC) imeendelea kutekeleza dhamira yake ya kuwapatia wananchi elimu ya msaada wa kisheria katika Mkoa wa Lindi, hususan katika Halmashauri ya Mtama, Kata ya Mandwanga.Katika zoezi hili muhimu, wananchi wa Kata…
Posted:
Katika jitihada za kuboresha ustawi wa jamii na maendeleo ya wananchi, Afisa Maendeleo aliendelea kusikiliza changamoto zinazowakabili wananchi ili kutafuta njia bora za kuzitatua.   Wakati wa mkutano huu, wananchi walipata fursa ya kueleza matatizo yao, huku Afisa Maendeleo akisikiliza kwa…