Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akisikiliza na kushughulikia kero za mwananchi moja kwa moja. #HakiKwaWote #SerikaliYaAwamuYaSita #DamasNdumbaro #MSLAC
Posted:
Mwabukusi ameongoza zoezi la utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi jijini Arusha, likiwa ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha haki na usawa vinapatikana kwa wote. Wananchi wamepata fursa ya kupata ushauri wa kisheria, kuelewa haki zao, na kupata mwongozo wa kisheria kutoka kwaโ€ฆ
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kufurahishwa na mwitikio mkubwa wa watu wanaojitokeza kupata msaada wa kisheria kwenye Kampeni ya Mama Samia Jijini Arusha, akisema kampeni hiyo si tu ya Watanzania bali ni ya kila mmoja anayeishi nchini kama ambavyo leo Machi 04, 2025โ€ฆ
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameendelea kuonesha dhamira thabiti ya serikali katika kuhakikisha haki inapatikana kwa wote, bila kujali uraia. Akiwa jijini Arusha katika Kampeni ya Mama Samia ya msaada wa kisheria, Waziri Ndumbaro amesimamia utatuzi wa mgogoro mkali uliodumu kwaโ€ฆ
Posted:
Jiunge nasi moja kwa moja kwa tukio kubwa la uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Arusha! Kampeni hii inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi, hususan wanawake, vijana, na makundi yenye uhitaji ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. ๐Ÿ“ Mahali: Arusha,โ€ฆ
Posted:
Arusha, Machi 1 โ€“ 3,Katika siku ya tatu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, wanasheria wamejitokeza na kutoa ushuhuda wa mafanikio makubwa katika utatuzi wa migogoro ya wananchi, wakionesha jinsi huduma za kisheria zinavyoweza kuleta suluhisho la haki na amani.Miongoni mwa wanasheriaโ€ฆ
Posted:
Katika juhudi za kuhakikisha wananchi wanapata uelewa wa haki zao, timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imetembelea Kijiji cha Kingโ€™ombe, Kata ya Kala, kupitia kampeni ya msaada wa kisheria inayotekelezwa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.Kupitia kampeni hii, wananchiโ€ฆ
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Machi 03, 2025, amekutana na kuzungumza na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro Ofisini kwake Jijini Arusha, ambapo Waziri Ndumbaro amefika Mkoani Arusha kukagua utekelezaji wa kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mamaโ€ฆ