Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Huduma za msaada wa kisheria zinapaswa kupatikana kwa kila mtu ambaye anahitaji na hawezi kumudu gharama za mawakili au ushauri wa kisheria. Hii ni pamoja na watu wa kipato cha chini, watu wasio na makazi, watoto, waathirika wa unyanyasaji au dhuluma, #MSLAC #CCM #SSH#MSLAC inasisitiza umuhimu wa…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria Ya Mama Samia, #MSLAC Inatoa huduma hii ya msaada wa kisheria Bure kwa Watanzania wote. 
Posted:
#MSLAC inawatakia Wakristo wote Ijumaa Kuu njema! Mungu awape baraka tele, furaha, na amani katika siku hii muhimu ya ibada na kutafakari. Ijumaa Kuu iwe mwanzo wa baraka tele katika maisha yenu. Amani na Upendo katika Haki. #MSLAC #Katibayawatu #Katibanasheria
Posted:
Mahafali ya kwanza ya wahitimu wa kozi ya wasaidizi wa kisheria katika Chuo cha Law School of Tanzania (LST) ni hatua muhimu sana katika maendeleo ya mfumo wa kisheria nchini Tanzania.Kuanza kwa kozi hii kunamaanisha kwamba serikali inatambua umuhimu wa kuwa na wataalamu wengi zaidi katika uwanja…
Posted:
Msaada wa kisheria ni huduma au usaidizi unaotolewa na wataalamu wa sheria kwa watu ambao wanahitaji msaada katika masuala yanayohusiana na sheria. Huduma hii inaweza kujumuisha ushauri wa kisheria, msaada wa kisheria katika kesi za mahakama, mchakato wa kutafuta haki. #MSLAC 
Posted:
TARATIBU ZA KUANDIKA WOSIA Taratibu za kuandika wosia zinatofautiana kulingana na sheria ya mirathi inayotumika. 1. WOSIA WA MAANDISHI Wosia huu unashuhudiwa na watu wawili pale ambapo mtoa wosia anajua kusoma au kuandika. Shuhuda mmoja lazima awe ndugu wa karibu wa mtoa wosia na…
Posted:
*MIAKA 3 YA MAFANIKIO KATIKA UDHBITI WA HAKI JINAI*#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #Philipmpango