Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Wosia ni nyaraka ya kisheria ambayo inaonyesha matakwa na maagizo ya mtu kuhusu namna mali yake itakavyogawiwa baada ya kifo chake. Wosia unaweza kujumuisha maelekezo kuhusu jinsi mali inapaswa kugawiwa kati ya warithi, uteuzi wa wasimamizi wa mali, na mambo mengine yanayohusiana na urithi wa mtu.…
Posted:
MIGOGORO ya ardhi imetajwa kuwa ni ndio moja ya kero kubwa kwa wananchi wilayani Iramba Mkoani hapa na imesababisha kutumia muda mwingi kutafuta haki hiyo maeneo mbalimbali ya utoaji haki.Hayo yalibainishwa wakati wa mkutano wa hadhara kati ya wananchi na timu ya kampeni ya huduma ya msaada wa…
Posted:
Wosia ni nyaraka ya kisheria ambayo inaonyesha matakwa na maagizo ya mtu kuhusu namna mali yake itakavyogawiwa baada ya kifo chake. Wosia unaweza kujumuisha maelekezo kuhusu jinsi mali inapaswa kugawiwa kati ya warithi, uteuzi wa wasimamizi wa mali, na mambo mengine yanayohusiana na urithi wa mtu.…
Posted:
Ibara ya 13 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inaonyesha nia ya serikali kuwa na jamii iliyoelemika kisheria na yenye uelewa wa masuala ya kisheria. Hii ni sehemu ya juhudi za kuwapa wananchi nguvu ya kushiriki kikamilifu katika michakato ya kisheria na kuwa na ufahamu wa haki…
Posted:
Makamu Mwenyekiti Taifa na Mwenyekiti Mkoa wa Singida,wa chama cha wanaume wanaiofanyiwa vitendo vya ukatili hapa nchini, Bw. Selema akitoa uzoefu wa ukatili wa kinjinsia kwa wanaume, katika kikao cha wananchu kikichofanyika katika viwanja vya Stendi Kata Makiungu na Mghaa wilayani Ikungu.
Posted:
Kampeni hii inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma za kisheria kwa wananchi. Kwa kutoa mwongozo wa jinsi wanasheria wanavyoweza kutoa huduma za kisheria bure katika kila mkoa na wilaya, inalenga kuhakikisha kwamba wananchi wanaweza kufikia msaada wa kisheria bila gharama kubwa.Elimu kwa Wananchi.…
Posted:
Waathiriwa wa unyanyasaji wa kijinsia mara nyingi hupata majeraha ya kimwili, kihisia, na kisaikolojia. Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imejikita kutoa Huduma za usaidizi ikiwa ni pamoja na ushauri nasaha, usaidizi wa kisheria, na matibabu, ni muhimu kwa walionusurika. Sheria na…
Posted:
Ukatili wa Kijinsia wa aina yoyote unajumuisha shughuli za ngono bila ridhaa au kulazimishwa. Ukatili wa Kijinsia ni neno pana ambalo linajumuisha vitendo na tabia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ubakaji, unyanyasaji wa kijinsia na aina nyingine za mawasiliano ya ngono yasiyotakiwa. Unyanyasaji wa…
Posted:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Nchini, kwa moyo wake wa uzalendo na kuwatumikia Watanzania na kutokana na Maono yake aliamua kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria kwa Watanzania.  Mnamo tarehe 27…
Posted:
Sheria za Tanzania zinalinda haki za watoto na kutoa miongozo kuhusu jinsi wanavyopaswa kutendewa katika jamii. Mojawapo ya nyaraka muhimu ni Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 (The Law of the Child Act, 2009). Sheria hii inakusudia kulinda haki na ustawi wa watoto nchini Tanzania.
Posted:
Rajabu Mussa, mmoja kati wa wananchi wa kijiji cha Matumbo kata ya Mtinko, Wilaya ya Singida Vijijini, aliyepata nafasi ya kuhudhuria semina elekezi, akieleza namna alivyopata elimu na msaada wa kisheria unaotolewa na timu ya Mama Samia Legal Aid Campaign Mkoani Singida.
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za binadamu kwa ujumla.MIGOGORO YA ARDHIMigogoro ya ardhi ni…