Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Arusha, Machi 3, 2025 – Katika jitihada za kusaidia wananchi kupata haki zao, kampeni ya msaada wa kisheria imeendelea kuwafikia watu mbalimbali nchini, huku Yahya Muhamed Marsha, mkazi wa Arusha, akieleza matumaini yake makubwa kwa huduma hii.Akizungumza mara baada ya kupokea ushauri wa kisheria,…
Posted:
Mke wa Mzee Sola, kwa kushirikiana na mtoto wake, walihusika kuuza eneo la mzee huyo bila ridhaa yake. Inadaiwa kuwa baada ya Mzee Sola kugundua jambo hilo na kuhoji uhalali wa uuzaji huo, alikumbana na vipigo vilivyomsababishia majeraha makubwa, na hatimaye ulemavu. Amefika katika banda la utoaji…
Posted:
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Kanda ya Pwani, Elieza Okororo, ambaye ni Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Pwani, amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwepo kwa Dawati la Msaada wa Kisheria, akisisitiza kuwa hatua hiyo imeimarisha upatikanaji wa haki na ulinzi kwa wanawake…
Posted:
Dr. Alice Kaijage anatoa wito kwa Watanzania wote kujitokeza kwa wingi ili kunufaika na huduma za msaada wa kisheria. Katika hotuba yake, anasisitiza umuhimu wa wananchi kufahamu haki zao za kisheria na jinsi msaada wa kisheria unavyoweza kuwasaidia katika kutatua changamoto mbalimbali, ikiwa ni…
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amewataka wananchi wa mkoa huo kuhakikisha wanatumia kikamilifu fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC). Akizungumza Machi 3, 2025, Makonda ameonya kuwa hakuna sababu ya mwananchi kubaki na changamoto za…
Posted:
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Kalli, ameendelea kuonyesha dhamira yake katika kusimamia maendeleo ya kijamii kwa kufuatilia kwa karibu jinsi wataalamu wa ufuatiliaji wa taarifa kutoka MSLAC wanavyofanya kazi yao jijini Arusha. Hatua hii imekuja katika wiki maalum ya Mama Duniani, ikiwa ni…