Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeendelea kuwafikia wananchi, safari hii ikiwa ni katika Kata ya Mwandege, vijiji vya Mkokozi, Mwandege, na Kipala. Katika ziara hiyo, wananchi walieleza changamoto kubwa inayowakabili—mtaro wa maji kuzibwa kutokana na ujenzi unaoendelea katikati…
Posted:
Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wakionesha shukrani na pongezi kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea huduma hii muhimu inayolenga kuwapatia haki na uelewa wa masuala ya kisheria.@…
Posted:
@ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @ikulu_habari @katibanasheria_ @damasndumbaro_official @sisinitanzania #mslac #mslaccampaign #katibanasheria #sisinitanzania
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. 📅 Tarehe: 18 Februari 2025 📍 Mahali: Mwanza…
Posted:
Yakiwa chini ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu @PaulMakondaArusha ya Haki, Amani, Usawa na Maendeleo , jitokeze Kupata Haki sasa…
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Arusha @PaulMakondaKatika ukaguzi wa Mabanda ya MSLAC , kuelekea uzinduzi wa Kampeni hiyo Mkoani Arusha.. Tarehe 1/02/2025 katika viwanja vya Sheikh Amri Abed#MSLAC #Katibanasheria #SisiniTanzania
Posted:
👉 Huduma ya Msaada wa Kisheria BURE inakuja kwa nguvu! Unakabiliwa na changamoto za kisheria kama migogoro ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira, ukatili wa kijinsia, mikataba, au kesi za jinai?    MSLAC (Samia Legal Aid Campaign) inakuletea Msaada wa Kisheria BURE siku ya Ijumaa, Tarehe…
Posted:
Kisarawe, 28 Februari 2025 – Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inaendelea kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi wa vijijini, ambapo hivi karibuni imefika katika Kijiji cha Kisangile, Kata ya Masaki, wilayani Kisarawe. Katika uhamasishaji huu, wananchi wamepata fursa ya…
Posted:
Mkuranga, Pwani – Mpango wa Msaada wa Kisheria wa Samia (MSLAC) umeendelea kuwafikia wananchi kwa kutoa elimu ya msaada wa kisheria, ambapo safari hii wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Mwandege, iliyopo katika Kijiji cha Mwandege, Kata ya Mwandege, Halmashauri ya Mkuranga, wamepata mafunzo…
Posted:
Elimu hiyo ililenga kuwajengea ufahamu wa haki zao za msingi na jinsi ya kushughulikia changamoto zinazohusiana na masuala ya sheria.
Posted:
Wakazi wa Mkoa wa Arusha wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika kampeni ya msaada wa kisheria iliyoanzishwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, kampeni ambayo ilizinduliwa rasmi leo mkoani humo. Kampeni hii inalenga kuwawezesha wananchi kwa kuwapa elimu kuhusu haki zao za kisheria na kusaidia…