Skip to main content

Video

Posted:
MAMA SAMIA LEGAL LEGAL AID YAMPATIA MWANAIDI HAKI YA ARDHI ILIYOTOLEWA KWA SHULE Katika kampeni maalumu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayoendelea katika Uwanja wa TBA jijini Arusha, Mwanaidi Mussa Hussein ameonesha furaha kubwa baada ya kupata haki yake ya ardhi aliyoikosa zaidi ya miongo…
Posted:
Arusha – Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendelea kuwa mwanga wa matumaini kwa wananchi wa Arusha, ambapo mmoja wa wanufaika wake, Raymond Mkini, amepata msaada wa Shilingi milioni 15 kwa ajili ya matibabu baada ya kujeruhiwa katika ajali.Raymond Mkini, mkazi wa Sombetini, Arusha,…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayoendelea mkoani Arusha imefanikiwa kutatua mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka saba kati ya raia wawili wa Italia. Wizara ya Katiba na Sheria, ikiongozwa na Dkt. Damas Ndumbaro, iliingilia kati na kufanikisha upatanisho kati ya pande hizo mbili. ​…
Posted:
Safari ya muda mrefu hatimaye yafikia ukomo, haki ya Bibi yakamilika kupitia msaada wa MSLAC Kwa zaidi ya miaka 20, Bibi mmoja amekuwa akisaka haki yake bila mafanikio, akisumbuka katika vyombo vya sheria na jamii kwa jumla. Safari yake ya kudai haki iligubikwa na changamoto lukuki, zikiwemo…
Posted:
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa mwaka huu, akitoa hotuba yenye msisitizo juu ya mchango wa wanawake katika maendeleo ya taifa.    Katika hafla hii, Mhe. Rais anaelezea juhudi za serikali yake…
Posted:
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akibainisha kuwa kampeni hiyo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Arusha na maeneo mengine nchini.Akizungumza Ijumaa, Machi 7, 2025, katika Uwanja…
Posted:
Huduma ya msaada wa kisheria sasa inapatikana BURE kwa wananchi wa Arusha kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria Samia (MSLAC) kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria. 🎯 Lengo letu? Kutoa msaada wa kisheria kwa wote ili kuhakikisha haki, amani, usawa, na maendeleo vinadumishwa kwa wananchi…
Posted:
Kampeni ya msaada wa kisheria inaendelea kwa siku ya saba mkoani Arusha, ikiwa ni juhudi za kusaidia wananchi kupata elimu ya haki zao na msaada wa kisheria bila malipo. Wananchi wengi wamejitokeza kunufaika na huduma hizi muhimu, wakipata ushauri wa kisheria kutoka kwa wanasheria na wataalam wa…
Posted:
Katika juhudi za kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki yake bila vikwazo vya kifedha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa gharama zote za huduma za msaada wa kisheria ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma hiyo bure kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya…
Posted:
"Tusiiache fursa hii ipite bila kuitumia ipasavyo. Serikali imeshafanya kazi kubwa ya kuweka huduma hizi kwetu, sasa ni jukumu letu kuzitumia kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo," aliongeza. Mchungaji shikela
Posted:
Mwabukusi ameongoza zoezi la utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi jijini Arusha, likiwa ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha haki na usawa vinapatikana kwa wote. Wananchi wamepata fursa ya kupata ushauri wa kisheria, kuelewa haki zao, na kupata mwongozo wa kisheria kutoka kwa…