Video
Posted:
Arusha, Machi 3, 2025 – Katika jitihada za kusaidia wananchi kupata haki zao, kampeni ya msaada wa kisheria imeendelea kuwafikia watu mbalimbali nchini, huku Yahya Muhamed Marsha, mkazi wa Arusha, akieleza matumaini yake makubwa kwa huduma hii.Akizungumza mara baada ya kupokea ushauri wa kisheria,…
MKAZI ANYIMWA HAKI YA ARDHI, APIGWA NA KUSABABISHIWA ULEMAAVU NA FAMILIA YAKE, MSLAC YASIMAMIA HAKI.
Posted:
Mke wa Mzee Sola, kwa kushirikiana na mtoto wake, walihusika kuuza eneo la mzee huyo bila ridhaa yake. Inadaiwa kuwa baada ya Mzee Sola kugundua jambo hilo na kuhoji uhalali wa uuzaji huo, alikumbana na vipigo vilivyomsababishia majeraha makubwa, na hatimaye ulemavu.
Amefika katika banda la utoaji…
Posted:
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Kanda ya Pwani, Elieza Okororo, ambaye ni Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Pwani, amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwepo kwa Dawati la Msaada wa Kisheria, akisisitiza kuwa hatua hiyo imeimarisha upatikanaji wa haki na ulinzi kwa wanawake…
Posted:
Dr. Alice Kaijage anatoa wito kwa Watanzania wote kujitokeza kwa wingi ili kunufaika na huduma za msaada wa kisheria. Katika hotuba yake, anasisitiza umuhimu wa wananchi kufahamu haki zao za kisheria na jinsi msaada wa kisheria unavyoweza kuwasaidia katika kutatua changamoto mbalimbali, ikiwa ni…
Posted:
Jeshi la Polisi laendelea Kutoa Elimu ya Kisheria juu ya Usalama Barabarani. Elimu ya kisheria inaendelea kutolewa na Koplo Rehema Makala, askari wa usalama barabarani, ambaye ameendelea kutekeleza jukumu lake la kutoa maarifa kwa wananchi kwa lengo la kuimarisha usalama barabarani. …
Posted:
NITAKRIBANI MIAKA KUMI NA NNE SASA MZEE NYAMONGE MATUTU MKAZI WA JIJINI MWANZA KITANGILE AMEKUWA AKIHANGAIKA NA MGOGORO WA SHAMBA LAKE BILA KUPATA HAKI YAKE. LAKINI KUPITIA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA , MWANGA WA HAKI WAANZA KUONEKANA.
#sisinitanzania #mslac #…
Posted:
Arusha, Machi 1, 2025 – Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maximilian, ametangaza kuwa zaidi ya watu laki nne wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika jijini Arusha.Akizungumza na waandishi wa habari, Mhe. Maximilian amesema maandalizi yote muhimu…
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
📅 Tarehe: 18 Februari 2025
📍 Mahali: Mwanza…