Video
Posted:
Katika Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayoendelea katika Uwanja wa TBA mkoani Arusha, wananchi wameendelea kufurahia jinsi migogoro yao inavyoshughulikiwa kwa haraka na kwa haki.
Akizungumza Jumatano Machi 05, 2025 katika shughuli hiyo, Chifu Anthony Thadeo (Chifu Kapufi III)β¦
Posted:
π’ Padre Apata Haki! | Msaada wa Kisheria wa Mama Samia Wamrejeshea Eneo Lake
Padre mmoja aliyedhulumiwa eneo lake hatimaye ameweza kurejeshewa haki yake kupitia huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayoendelea mkoani Arusha. πβοΈ
Katika juhudi za kuhakikisha haki inapatikanaβ¦
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akisikiliza mgogoro wa ardhi kutoka kwa mwananchi jijini Arusha. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuhakikisha haki za ardhi zinalindwa na migogoro inatatuliwa kwa haki na uwazi. Tazama jinsi Waziri anavyoshughulikia suala hili kwa kuhakikishaβ¦
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, aagiza wasaidizi wa Mkuu wa Wilaya kuandaa wito kwa mtu aliyenunua ardhi bila ridhaa ya mmiliki halali. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kusimamia haki za wananchi katika umiliki wa ardhi na kuhakikisha sheria zinafuatwa. Tazama hatuaβ¦
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akimpatia elimu ya mirathi mwananchi anayesimamia urithi wa familia yake. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutoa elimu ya sheria ili kuhakikisha haki na usawa vinazingatiwa katika masuala ya mirathi. Tazama maelezo muhimu kuhusu usimamizi waβ¦
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, Amsaidia mama anayepigania haki ya kulelewa mtoto wake kwa kumpatia msaada kupitia mtaalamu wa Dawati la Jinsia. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuhakikisha haki za wananchi, hususan wanawake na watoto, zinalindwa na kutekelezwa ipasavyo. Tazamaβ¦
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, akisikiliza na kushughulikia kero za mwananchi moja kwa moja. #HakiKwaWote #SerikaliYaAwamuYaSita #DamasNdumbaro #MSLAC
Posted:
Mwabukusi ameongoza zoezi la utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi jijini Arusha, likiwa ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha haki na usawa vinapatikana kwa wote. Wananchi wamepata fursa ya kupata ushauri wa kisheria, kuelewa haki zao, na kupata mwongozo wa kisheria kutoka kwaβ¦
Posted:
Jiunge nasi moja kwa moja kwa tukio kubwa la uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Arusha! Kampeni hii inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi, hususan wanawake, vijana, na makundi yenye uhitaji ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
π Mahali: Arusha,β¦