Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Wananchi wa Jiji la Arusha wamejitokeza kwa wingi kufuatia uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria, hatua ambayo inalenga kuwapa fursa ya kupata huduma muhimu za kisheria bila malipo kabisa.
Kampeni hiyo, inayotekelezwa na mashirika mbalimbali ya kisheria kwa kushirikiana na wadau wa haki za…
Posted:
Waziri wa katiba na sheria Mh dkt Damas Ndumbaro kushoto,Mkuu wa mkoa Arusha Mh Paul Christian Makonda katikati na mwanasheria mkuu wa serikali kulia Mh Hamza johari leo mkoani Arusha katika uzinduzi wa kampeni ya kisheria.@samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa @biteko@hakingowinews @…
Posted:
Mhe. Amoni Mpanju, Naibu Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, anatoa salaam za Wizara katika uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia uliofanyika mkoani Arusha tarehe 28 Machi 2025.
Katika hotuba yake, Mhe. Mpanju amepongeza…
Posted:
Tukio hilo lililenga kuwasaidia wananchi kupata ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kisheria, ikiwemo haki za kiraia, usuluhishi wa migogoro, na taratibu za kisheria. Wataalam wa sheria walitoa elimu na usaidizi wa bure kwa wananchi, huku lengo likiwa ni kuwajengea uelewa na kuwahamasisha kudai haki…
Posted:
Picha za wananchi waliojitokeza kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa Mkoa wa Arusha, uzinduzi unaofanyika katika Uwanja wa Ngarenaro leo, Machi 28, 2025.
Mgeni Rasmi katika uzinduzi huu ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt Dkt. Damas…
Posted:
Karibu kushuhudia uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria iliyoanzishwa chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan! 🎉 Kampeni hii inalenga kuwapa wananchi elimu ya sheria, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote, na kuimarisha upatikanaji wa msaada wa kisheria nchini…
Posted:
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, inazindua rasmi Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria mkoani Arusha. Kampeni hii inalenga kutoa elimu ya sheria, kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi, na kuhakikisha kila Mtanzania…



