Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Mgeni rasmi ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini.@Sheria_Katiba
Posted:
@ikulumawasliano@Sheria_Katiba
Posted:
wilaya ya nkasi tumeshiriki upandaji miti ikiwa ni moja ya maagizo ya mheshimiwa Rais.@ikulumawasliano@Sheria_Katiba
Posted:
Ambayo yamehudhuriawa na viongozi mbali mbali wa serikali, kimila na Viongozi wa kidini.@ikulumawasliano@SuluhuSamia@Sheria_Katiba
Posted:
Maadhimisho haya yamefanyika kwa kushiriki kufanya usafi katika Hospitali ya wilaya ya frelimo iliyopo katika kata ya mwangata mtaa wa muungano. Hakika imefana sana! Viongozi mbali mbali wameshiriki ikiwa mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya iringa, das, jeshi la polisi,magereza ,…
Posted:
Dawati la huduma za msaada wa kisheria watoa Elimu juu ya uwepo wao na huduma zitolewazo katika kata ya Chemba wilaya ya Chemba. #Mslac #Wizarayakatibanasheria
Posted:
Kata ya Kisarawe imeadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa hafla maalum iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwasonga. Hafla hiyo ilihudhuriwa na maafisa maendeleo, walimu, na wanafunzi ambao walishiriki kwa njia mbalimbali katika kutoa na kupokea elimu kuhusu ukatili wa kijinsia.…
Posted:
Ukihusisha ujenzi wa vyumba saba vya madarasa na matundu nane ya vyoo. Mradi huu unagharimu kiasi cha Tshilingi 175,400,0000/= #MSLAC@Sheria_Katiba@ikulumawasliano@SuluhuSamia
Posted:
Kutoa Elimu ya Kampeni ya Mama Samia Msaada wa Kisheria na kupinga Unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa Watoto: Wanaume na wanawake na namna ya kutoa taarifa juu ya vitendo hivyo.@sisiniTanzania@ikulumawasliano@SuluhuSamia@matokeochanya@EsterMsambazi