Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Katika wilaya za Kilombero na Kidatu, kumekuwepo na juhudi kubwa za kuhakikisha wananchi wanapata msaada wa kisheria kupitia mpango wa Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC). Mpango huu umeanzishwa kwa lengo la kuwasaidia wananchi, hasa wale wa kipato cha chini, kutatua changamoto mbalimbali za…
Posted:
Kampeni ya msaada wa kisheria iliyopewa jina la "Matembezi ya Amani na Msaada wa Kisheria" imepata mwitikio mkubwa mkoani Morogoro. Hii ni sehemu ya juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha huduma za msaada wa kisheria zinawafikia…
Posted:
Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria na Elimu kwa Umma katika Mkoa wa Morogoro ulifanyika kwa mafanikio makubwa. Kampeni hii ni sehemu ya mpango wa kitaifa unaoendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya sheria, vyombo vya habari, na mashirika ya kijamii.…
Posted:
#MSLAC. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano
Posted:
Morogoro, Tanzania – Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, kwa kushirikiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, na Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Daniel Kyoga, wameungana kutoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wa wilaya ya Kilombero.…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria Mheshiwa Dkt Damas Ndumbaro amewasili katika uwanja wa Stendi ya Zamani Kwa ajili ya Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria Ya Mama Samia Kwa Mkoa wa Morogoro.Ameanza Kwa kutembelea mabanda mbalimbali ya Taasisi zilizoshiriki katika uzinduzi wa kampeni hiyo. …
Posted:
Picha za matukio mbalimbali kwenye uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria Ya Mama Samia Kwa Mkoa Morogoro ambapo yanafanyika katika uwanja wa stendi ya Zamani katika Manispaa ya Morogoro na Mgeni rasmi katika uzinduzi huu ni Waziri wa Katiba na Sheria Mheshiwa Dkt Damas Ndumbaro.#MSLAC. #…