Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Mslac imefika kutatua migogoro.@Sheria_Katiba
Posted:
Afisa dawati la huduma za msaada wa kisheria halmashauri ya wilaya ya Iramba-Singida wamtembelea mwananchi nyumbani kwao Ruruma-kiomboi na kumsikiliza changamoto iliyokuwa inamkumba.@Sheria_Katiba
Posted:
@Sheria_Katiba
Posted:
ikilenga kuwahamasisha wananchi kujua haki zao za kisheria, kupunguza migogoro ya kijamii, na kuimarisha utawala wa sheria. Kampeni hii, inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Tanganyika Law Society (TLS) na Serikali, inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa makundi yote, hususan wanawake, watoto, na watu…
Posted:
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua haki za kila raia kupatiwa usawa mbele ya sheria, haki ya kusikilizwa, na kutokubaguliwa. Kampeni hii inalenga kutekeleza masharti haya kwa kuwapa wananchi uelewa na msaada wa moja kwa moja katika masuala ya kisheria. Kutoa Haki kwa Wote…
Posted:
Kuhamasisha Haki za Kikatiba: Kuwapa wananchi elimu kuhusu haki zao za msingi zilizoainishwa katika Katiba na sheria za nchi. Kuongeza Ufikiaji wa Haki: Kuwezesha watu wenye changamoto za kiuchumi na kijiografia kupata msaada wa kisheria kwa urahisi. Kujenga Uelewa wa Sheria: Kufanya elimu ya…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, ambayo imezinduliwa rasmi katika Mkoa wa Mara, ni sehemu ya juhudi za serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi wote, hususan wale wa kipato cha chini au walioko pembezoni.…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, ambayo imezinduliwa rasmi katika Mkoa wa Mara, ni sehemu ya juhudi za serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi wote, hususan wale wa kipato cha chini au walioko pembezoni.…
Posted:
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua haki za kila raia kupatiwa usawa mbele ya sheria, haki ya kusikilizwa, na kutokubaguliwa. Kampeni hii inalenga kutekeleza masharti haya kwa kuwapa wananchi uelewa na msaada wa moja kwa moja katika masuala ya kisheria. Kutoa Haki kwa WoteKwa mujibu…
Posted:
Kushirikisha Taasisi za Kisheria: Hii ni pamoja na wanasheria wa kujitolea, Tanganyika Law Society, na vikundi vya jamii vilivyojitolea kusaidia kufikisha huduma hizo hadi vijijini. Uhamasishaji wa Kijamii: Kupitia mikutano ya hadhara, vyombo vya habari, na matangazo, kampeni inalenga kufikia…



