Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Shughuli hii ilifanyika katika vijiji vya Mvuha na Changalawe, ikilenga kukuza uelewa wa haki za binadamu, ustawi wa jamii, na mbinu za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na ukatili wa kijinsia. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
ikiwa ni pamoja na ushauri kuhusu haki zao ndani ya ndoa, usuluhishi wa migogoro, na masuala ya talaka na malezi ya watoto, kwa mujibu wa sheria za Tanzania. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @…
Posted:
Timu ya wanasheria wazoefu ipo tayari kukuhudumia kwa masuala yafuatayo; Migogoro ya Ardhi – Ikiwemo umiliki wa ardhi, mipaka, na makubaliano ya ardhi. Masuala ya Ndoa na Familia – Msaada kuhusu talaka, matunzo ya watoto, na haki za wanandoa. Haki za Watoto – Kutetea na kulinda…
Posted:
Kampeni kama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) zinalenga kutoa elimu ya kisheria, kushughulikia matatizo ya kisheria yanayowakumba wananchi, na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/12/je-msaada-wa-kisheria-una-umuhimu-gani.html… #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano
Posted:
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano
Posted:
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano
Posted:
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof Palamagamba John Kabudi leo tarehe 04 Desemba, 2024 amekutana na kufanya kikao na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Mhe. Jaji Imani Aboud aliyeambatana na ujumbe kutoka Mahakama hiyo iliyopo jijini Arusha. Katika…
"Elimu ya Kisheria Mashambani: Dawati la Msaada wa Kisheria Mbeya DC Lafikisha Huduma Kata ya Isuto"
Posted:
Dawati la msaada wa kisheria kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii Mbeya DC limewafikia wananchi wa Kata ya Isuto katika Halmashauri ya Mbeya, likitoa elimu ya kisheria muhimu kwa jamii inayoishi kwa asilimia 89 ya ardhi ya kilimo. Huku msimu wa kilimo ukiwa umeshika kasi, wananchi walipata elimu…
Posted:
Tuko hapa Kukuhudumia ........ #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano
Posted:
https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/12/mslac-inahakikishaje-uwajibikaji-na.html… #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano



