Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Msaada wa kisheria Unaendelea kutolewa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wananchi wanaendelea kufika kwenye viwanja vya Mwembetogwa katika kampeni ya Msaada wa kisheria wa Mama Samia Legal Aids Compaign #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #…
Posted:
Mtwara wakishiriki kilele cha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia mkoa Mtwara.@Sheria_Katiba
Posted:
Afisa maendeleo ya jamii alipata nafasi ya kutatua migogoro wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.@Sheria_Katiba
Posted:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo mahususi kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, kuhakikisha kuwa sheria za nchi zinasimamiwa ipasavyo na kuheshimiwa. Rais Samia alisisitiza umuhimu wa utekelezaji wa sheria kwa haki na usawa ili…
Posted:
Mkurugenzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), Bi. Ester Msambazi, ametoa wito kwa wananchi wote wa Tanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki na kufaidika na huduma za msaada wa kisheria wakati wa kampeni inayotarajiwa kutekelezwa katika mikoa ya Iringa, Songwe, Mara, na Morogoro. Kampeni hii…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi mkoani Iringa, ikilenga kutoa huduma za kisheria bure kwa wakazi wa mkoa huo na kuwasaidia kutatua changamoto za kisheria wanazokutana nazo kila siku. Uzinduzi huu umehudhuriwa na viongozi wa serikali, mashirika ya kisheria, na…
Posted:
Kampeni ya msaada wa kisheria inazinduliwa rasm
Posted:
@ikulumawasliano@Sheria_Katiba
Posted:
@ikulumawasliano@Sheria_Katiba