Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Bila msaada wa kisheria, watu wasiokuwa na uwezo wa kifedha wanakosa fursa ya kujitetea au kuwakilishwa vizuri mbele ya vyombo vya sheria, jambo ambalo linaweza kukiuka haki zao za msingi. #MSLAC
Posted:
Katiba ya Tanzania inatambua haki ya kulindwa kwa watoto kutokana na unyanyasaji, ukatili, na unyonyaji wa aina yoyote. @TanganyikaLaw @MsLACampaign#katibanasheria
Posted:
Usikose fursa hii ya kipekee! Tunakuja kwenu na Kampeni ya msaada wa kisheria Ya Mama Samia, na Msaada huu ni bure!Tambua haki zako, pata ushauri na msaada wa kisheria bila malipo!#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
Leo tunapotimiza miaka 25 tangu kuondokewa na kiongozi wetu mahiri, bado tunajivunia kuendelea kuwa Taifa lenye misingi imara aliyotuachia ya amani, umoja, upendo na mshikamano.Tunapoadhimisha siku hii, tuendelee kukumbuka na kuienzi misingi hii muhimu kwa uhai wa Taifa letu.Dkt. Samia Suluhu…
Posted:
Kumbukizi..Miaka 25 toka kifo cha Baba wa Taifa! Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Posted:
Zoezi Limeanza Oct 11 - 20, 2024#Tanzania #SisiNiTanzania #SSH #KaziIendelee@samia_suluhu_hassan @katibanasheria_@ikulu_mawasiliano @tumeyauchaguzi_tanzania
Posted:
Tunapatikana kama; @mslegalaidcampaign Mama Samia Legal Aid Campaign#Tanzania #SSH #SisiNiTanzania #KaziIendelee
Posted:
Tunapatikana kama;@mslegalaidcampaignMama Samia Legal Aid Campaign#Tanzania #SSH #SisiNiTanzania #KaziIendelee@ikulu_mawasiliano @katibanasheria_ @katibayawatu @samia_suluhu_hassan
Posted:
Makundi hayo ni kama vile wanawake waliokumbwa na unyanyasaji wa kijinsia, watoto, na watu maskini.#MSLAC#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
Moja ya malengo makubwa ya Kampeni Ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, ni kulinda haki za wanawake na watoto, kwa kutoa msaada katika kesi zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia, haki za urithi, ndoa, na talaka. Kila Mtoto Anahaki , Kulingana na katika ya Tanzania...
Posted:
Bofya link hapo chini Tuendelee Kuelimika zaidi https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/09/je-kampeni-ya-msaada-wa-kisheria-ya.html… #matokeochanya #MSLAC



