Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Ni wajibu wa kila mmoja wetu kuhakikisha kuwa haki hizi zinapatikana kwa wote kwa kushirikiana katika Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia. @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @tulia.ackson @hakingowinews @tulia.ackson @biteko @prof.kabudipjam @katibanasheria_…
Posted:
Tushirikiane kwa pamoja katika kampeni hii kwa ajili ya Tanzania yenye haki na usawa kwa wote!#MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza 
Posted:
Tunahitaji kuikomboa jamii yetu dhidi ya uelewa mdogo wa sheria na kuhakikisha kila Mtanzania anapata msaada wa kisheria bure. Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ipo mstari wa mbele kukuhudumia! Ungana nasi katika safari hii ya kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. Haki yako ni msingi wa…
Posted:
 Katika juhudi za kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki kwa mujibu wa sheria, MSLAC imeendelea kutoa huduma muhimu za msaada wa kisheria kwa wananchi kote nchini. Kampeni hii, inayolenga kuwasaidia wananchi ambao hawana uwezo wa kumudu gharama za mawakili au huduma nyingine za kisheria,…
Posted:
MSLAC pia inatoa msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa waathirika wa unyanyasaji, ili kuwasaidia kurejea katika maisha yao ya kawaida.#MSLAC #Katibanasheria
Posted:
Kupitia kampeni hii, wananchi wanapatiwa msaada wa kisheria bure unaolenga kuwasaidia kutatua migogoro ya ardhi kwa njia ya haki na kikatiba. Hii inafanyika kwa kutoa elimu ya kisheria, kusaidia wananchi kuelewa haki zao za kikatiba, na kuwasaidia kufuata taratibu sahihi za kisheria ili kuepuka…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) inahusiana moja kwa moja na dhana ya 4R, ambayo inasimama kwa Reconciliation, Resilience, Reform, na Rehabilitation. Dhana hii inatumiwa na serikali ya Tanzania kuimarisha umoja wa kitaifa, kuleta mageuzi katika utawala, na kuboresha hali za…
Posted:
Lengo kuu ni kuhakikisha kwamba haki, usawa, na heshima vinazingatiwa katika masuala ya ndoa, na kwamba kila mwananchi anaweza kufikia haki bila vikwazo vyovyote. #MSLAC
Posted:
Kampeni hii inalenga kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi, hususan katika masuala yanayohusu migogoro ya ndoa, Ardhi, mirathi, na kusimamia haki dhidi ya unyanyasaji katika jamii. #MSLAC
Posted:
Katika jitihada za kutetea haki za wanawake na kuhakikisha kwamba wanapata stahiki zao, MSLAC (Mama Samia Legal Aid Campaign) imejikita kusaidia wanawake waliozidiwa nguvu au kunyimwa haki zao, hususan katika masuala ya mirathi. Hii ni hadithi ya mmoja wa wanawake waliopata msaada kupitia kampeni…