Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Hii ni hatua muhimu katika kujenga jamii yenye haki na usawa. #MSLAC #Katibanasheria #CCM #Nchiyangukwanza
Posted:
Hii inasaidia kupunguza migogoro inayotokana na kutokuelewa haki na wajibu.#MSLAC #Katibanasheria
Posted:
Kwa Tanzania, haki hii inatoa nafasi kwa wananchi kuchagua viongozi wao na kujihusisha katika maamuzi yanayoathiri maisha yao.A
Posted:
Ibara ya 12 ya Katiba inahakikisha kuwa kila mtu anastahili usawa mbele ya sheria. Usawa huu unajumuisha haki ya kupata msaada wa kisheria kwa watu wote bila kujali jinsia, dini, kabila, au hali ya kiuchumi. #MSLAC #Katibanasheria 
Posted:
Pata haki yako na suluhisho la haraka! Wasiliana nasi kupitia namba 0262160360. Huduma zetu za msaada wa kisheria ni BURE kwa wote wenye uhitaji. Usikose nafasi ya kupata ushauri na msaada wa kisheria. #MSLAC #Katibanasheria Tupigie sasa!
Posted:
Bofya Link Kupata taarifa hii zaidi https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/10/msaada-wa-kisheria-kwa-haki-usawa-amani.html… #MSLAC #Katibanasheria
Posted:
Bila msaada wa kisheria, watu wasiokuwa na uwezo wa kifedha wanakosa fursa ya kujitetea au kuwakilishwa vizuri mbele ya vyombo vya sheria, jambo ambalo linaweza kukiuka haki zao za msingi. #MSLAC