Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Bofya link hapo chini Tuendelee Kuelimika zaidi https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/09/je-kampeni-ya-msaada-wa-kisheria-ya.html… #matokeochanya #MSLAC
Posted:
Pata haki yako na suluhisho la haraka! Wasiliana nasi kupitia namba 0262160360. Huduma zetu za msaada wa kisheria ni BURE kwa wote wenye uhitaji.Usikose nafasi ya kupata ushauri na msaada wa kisheria kwa masuala ya ardhi, Unyanyasaji, mirathi, biashara, ndoa, mikataba, na zaidi. Get your…
Posted:
Msaada huu unaweza kutolewa kwa njia ya usuluhishi au kuwakilisha wahusika katika vyombo vya kisheria. #MSLAC
Posted:
Tuko Hapa Kukuhudumia! #MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #Nchiyangukwanza #Ikulu
Posted:
Kwa kuzingatia Katiba ya Tanzania na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, Mslac Inatoa msaada wa kisheria bure kwa watu wanaokumbwa na migogoro ya ndoa, ikiwa ni pamoja na ushauri kuhusu haki zao ndani ya ndoa, usuluhishi wa migogoro, na masuala ya talaka na malezi ya watoto.…
Posted:
Hii inalenga kupunguza pengo la haki linalosababishwa na tofauti za kiuchumi na kijamii, na kuimarisha utawala bora na haki katika taifa. #MSLAC
Posted:
Serikali inahakikisha kuwa kupitia msaada huu, haki za kikatiba za wananchi zinaheshimiwa na kutekelezwa #MSLAC #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Katibanasheria #matokeochanya



