Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro amesema Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imewafikia jumla ya wananchi 2,698, 908, kati yao wanaume wakiwa ni 1, 347,325 na wanawake wakiwa 1, 351, 583 katika Mikoa 25 ya Tanzania bara.
Aidha Kampeni hiyo pia…
DKT. DAMAS NDUMBARO AKIWASILISHA HOTUBA YA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA BUNGENI
Posted:
Leo tarehe 30 Aprili 2025, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, anawasilisha hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jijini Dodoma.
Katika hotuba hii muhimu, Waziri Ndumbaro anaeleza…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Wizara yake inaendelea na uratibu na utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, ambapo kufikia sasa Tayari kampeni hiyo imetekelezwa kwenye mikoa 25 ya Tanzania bara, Dar Es salaam ikisalia peke…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria iliyoanzishwa kwa juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wananchi wa Fujoni wamepata fursa ya kufikiwa na watoa huduma za msaada wa sheria kupitia…
Posted:
Katika jitihada za kuhakikisha haki inapatikana kwa kila Mtanzania bila ubaguzi, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendelea kuwafikia wananchi wa kada zote nchini. Kupitia huduma hii bure, wananchi wengi sasa wanapata elimu ya kisheria, msaada wa mashauri yao mahakamani, na njia mbadala…
Posted:
Kwa ufupi wa kitaalamu, ninapolichambua kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na kanuni za vyama vya kitaaluma (professional bodies), majibu haya yana msingi sahihi katika maeneo yafuatayo: 1. Wajibu wa TLS wa Kutoa Legal Aid na Dock Brief
Kwa mujibu wa Katiba (Ibara ya 13(6)(a)) na pia kwa mujibu…
Posted:
Muktadha wa Muungano
Tanganyika: Ilikuwa koloni la Uingereza, lilipata uhuru tarehe 9 Desemba 1961 chini ya Julius Nyerere na Chama cha TANU. Ilikuwa bara lenye uchumi wa kilimo na makabila zaidi ya 120.
Zanzibar: Visiwa vya pwani ya Afrika Mashariki, vilivyokuwa chini ya Uingereza na nafasi ya…
Posted:
Tunapoadhimisha siku hii adhimu, tuendelee kuuenzi Muungano kwa kushirikiana,kuheshimiana na kudumisha misingi ya haki, usawa na maendeleo kwa wote
Posted:
Katika video hii, tunakuletea maoni ya wanazuoni na waratibu wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wakizungumzia namna kampeni hii imeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa haki nchini Tanzania. Kwa sauti zao wenyewe, wanasema: "Huu ni mlango wa haki kwa Watanzania wote!"
📌 Tazama…
Posted:
Kwa mara ya kwanza katika historia, Serikali kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeanza kutoa huduma za kisheria bure kwa wananchi wote wa Zanzibar! 🏝️⚖️Katika tukio lililojaa hamasa na matumaini, wananchi kutoka kila kona ya Visiwa vya Unguja na Pemba wamejitokeza kwa wingi…
Posted:
Wakurugenzi pamoja na wataalamu wa sheria katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia unaofanyika mkoa wa kaskazini unguja ambapo mgeni rasmi ni Mheshimiwa Dkt. Haroun Ali Suleiman.
Posted:
#MSLAC #SheriaKwaWote #HakiNiMsingiWaMaendeleo #SamiaSuluhuHassan #TanzaniaLegalReform