Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Songea, Ruvuma – Katika muendelezo wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), wananchi wa Mkoa wa Ruvuma, hususan Manispaa ya Songea, wameendelea kunufaika na elimu ya kisheria inayogusa maisha yao ya kila siku. Kwa sauti moja, wananchi wametoa kauli ya wazi: "Tunakiu ya haki, elimu…
Posted:
Ujumbe mahiri uliotolewa kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika Mkoa wa Ruvuma, hususan Songea. Ujumbe huu umechochea hisia, uelewa wa haki za kisheria, na ari ya kujua sheria kwa wananchi wa kada zote – kuanzia vijana, wanawake, hadi wazee.
⚖️ MSLAC inaendeleza…
Posted:
Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja kutoka Songea, ambapo mabalozi wa mitaa na wajumbe wao zaidi ya 8,000 wanapatiwa mafunzo ya kina kuhusu sheria, haki za binadamu, uchaguzi huru na utawala bora. Mafunzo haya ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan…
Posted:
Mpango wa kutoa elimu ya utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala kwa mabalozi na wajumbe wa serikali za mitaa unalenga kuimarisha misingi ya utawala bora, haki za binadamu, na amani ya kijamii kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa).…
Posted:
Mpango wa Msaada wa Kisheria wa Mama Samia Wavutia Dunia – Madola Yataka Kuiga Mfano wa Tanzania” Katika kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Dkt. Damas Ndumbaro, ameeleza kuwa mpango wa msaada wa kisheria unaoendeshwa chini…
Posted:
Wizara ya Katiba na Sheria imeandaa semina itakayotoa Elimu ya utatuzi wa Migogoro kwa viongozi wa kada ya chini wa Manispaa ya Songea Mjini na wa Wilaya ya Madaba.Akizungumza na Timu ya utoaji wa Elimu hiyo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa ili kumaliza…
Posted:
Wizara ya Katiba na Sheria imeandaa semina itakayotoa Elimu ya utatuzi wa Migogoro ya sekta ya Sheria kwa viongozi wa kada ya chini wa Manispaa ya Songea Mjini na wa Wilaya ya Madaba. Akizungumza na Timu ya utoaji wa Elimu hiyo Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro…