Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
MSLAC pia inatoa msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa waathirika wa unyanyasaji, ili kuwasaidia kurejea katika maisha yao ya kawaida.#MSLAC #Katibanasheria
Posted:
Kupitia kampeni hii, wananchi wanapatiwa msaada wa kisheria bure unaolenga kuwasaidia kutatua migogoro ya ardhi kwa njia ya haki na kikatiba. Hii inafanyika kwa kutoa elimu ya kisheria, kusaidia wananchi kuelewa haki zao za kikatiba, na kuwasaidia kufuata taratibu sahihi za kisheria ili kuepuka…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) inahusiana moja kwa moja na dhana ya 4R, ambayo inasimama kwa Reconciliation, Resilience, Reform, na Rehabilitation. Dhana hii inatumiwa na serikali ya Tanzania kuimarisha umoja wa kitaifa, kuleta mageuzi katika utawala, na kuboresha hali za…
Posted:
Lengo kuu ni kuhakikisha kwamba haki, usawa, na heshima vinazingatiwa katika masuala ya ndoa, na kwamba kila mwananchi anaweza kufikia haki bila vikwazo vyovyote. #MSLAC
Posted:
Kampeni hii inalenga kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi, hususan katika masuala yanayohusu migogoro ya ndoa, Ardhi, mirathi, na kusimamia haki dhidi ya unyanyasaji katika jamii. #MSLAC
Posted:
Katika jitihada za kutetea haki za wanawake na kuhakikisha kwamba wanapata stahiki zao, MSLAC (Mama Samia Legal Aid Campaign) imejikita kusaidia wanawake waliozidiwa nguvu au kunyimwa haki zao, hususan katika masuala ya mirathi. Hii ni hadithi ya mmoja wa wanawake waliopata msaada kupitia kampeni…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia katika maonesho ya Nane Nane inalenga kutoa elimu ya sheria, ushauri, na ufumbuzi wa matatizo ya kisheria kwa wananchi. Tupo Hapa Kukuhudumia! kwani msaada huu ni Bure kwa Watanzania wote..Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia katika maonesho ya…
Posted:
Lusian Mwanitu, mkazi wa mkoani Dodoma, ameomba serikali kuongeza nguvu kwenye kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ili iweze kuwafikia watu wengi zaidi, hususan wale waliopo vijijini. Mwanitu amepongeza juhudi za kampeni hiyo, akisema kuwa ni taasisi mpya na yenye manufaa makubwa kwa…
Posted:
Wananchi wameonyesha kuridhishwa na huduma za kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia. Fika katika banda letu lililopo maonesho ya Nane Nane ili kupata huduma za msaada wa kisheria bure. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #KaziIendelee
Posted:
Hasa wale wasio na uwezo wa kugharamia mawakili, kulingana na Ibara ya 13 ya Katiba inayosisitiza usawa mbele ya sheria na haki ya kupata msaada wa kisheria. #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC