Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Wilaya ya Nachingwea Kata ya MPIRUKA Kijiji cha Mkumba Elimu juu Kampeni ya mama samia legal aid Inaendelea kutolewa kwa wanakijiji wa kijij cha Mkumba kwenye masuala ya ardhi, mirathi na wosia, ndoa, ukatili wa kijinsia nk. @mslegalaidcampaign @katibanasheria_ @samia_suluhu_hassan @…
Posted:
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya
Posted:
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya
Posted:
Shule ya Sekondari Shekilango iliyopo Kata ya Mombo Wanafunzi wakipewa Elimu juu ya Haki za watoto na Ukatili kwa watoto, Namna ya kuukabili ukatili na Madhara ya ukatili, kupitia Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia, Elimu imetolewa kwa wanafunzi wa Kidato cha kwanza hadi kidato cha Nne,…
Posted:
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya 
Posted:
Misungwi, Mbela na old Misungwi ikiwa ni pamoja na kutambulisha rasmi Kampeni Ya mama samia Legal aid, pia wametoa elimu ya ukatili wa kijinsia na haki za watoto katika shule ya sekondari Misungwi, shule ya msingi old Misungwi na shule ya sekondari Mwambola wakiambatana na Mawakili, Afisa Ardhi,…
Posted:
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya
Posted:
Mslac imefanikiwa kutoa elimu ya msaada wa kisheria ya mama Samia kwa vikundi vya mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri katika kata ya Mtunda, halmashauri ya wilaya ya kibiti, Mkoa wa Pwani wakati kamati ya mikopo ya halmashauri ilivyokuwa inakagua miradi ya wanavikundi na kutoa Elimu kwa…