Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Mwanza, Februari 17, 2025 - Maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Msaada wa Kisheria mkoani Mwanza yanaendelea vyema huku hatua zote muhimu zikikamilishwa kwa ajili ya kufanikisha tukio hili muhimu. Serikali kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali ya kisheria, ikiwemo Tanganyika Law Society (TLS)…
Posted:
Elimu hiyo ililenga kuwajengea uelewa wanafunzi, walimu, na jamii kwa ujumla kuhusu umuhimu wa kulinda haki za watoto na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia. Maafisa hao walieleza aina mbalimbali za ukatili, athari zake, na hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuhakikisha usalama wa watoto na…
Posted:
@ikulu_mawasiliano
@ikulu_habari
@samia_suluhu_hassan
@kassim_m_majaliwa
@biteko@sisinitanzania
@airtanzania_atcl
@arusha_nationalpark
#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #…
Posted:
Same, Kilimanjaro – Wanafunzi wa Shule ya Msingi Vumari, iliyopo katika Kijiji cha Vumari, Kata ya Vumari, ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Same, wamepata fursa ya kuelimishwa kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia. Elimu hiyo…
Posted:
Halmashauri ya Mtwara Dc, Kata ya Mayanga, Kijiji cha Msijute
Katika jitihada za kuimarisha elimu ya haki na usalama miongoni mwa vijana, watoa huduma za msaada wa kisheria walitembelea shule ya msingi Msijute. Ziara hii ililenga kuwafundisha wanafunzi kuhusu hatari na athari za ukatili wa kijinsia…
Posted:
Simanjiro, Tanzania – Wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Orkirung'rung, iliyopo katika Kijiji cha Orkirung'rung, Kata ya Endonyongijape, Wilaya ya Simanjiro, wamepatiwa elimu muhimu kuhusu haki za mtoto na madhara ya ukatili wa kijinsia.Elimu hii ya msaada wa kisheria ilitolewa kwa lengo la…
Posted:
Bunda, Tanzania – Halmashauri ya Mji wa Bunda imetoa elimu kwa wanajamii wa Kata ya Wariku katika kikao cha wazazi cha Shule ya Sekondari Wariku. Lengo la elimu hiyo ni kuimarisha uelewa wa wazazi kuhusu masuala muhimu ya maendeleo ya elimu na malezi ya watoto shuleni.Katika kikao hicho, wazazi…
Posted:
#ElimuYaKisheria #Iliboru #HakiKwaWote #MsaadaWaKisheria #Katibanasheria #Sisinitanzania
Posted:
Shule hii ya sekondri ipo Kata ya Mtwivila, Mtaa wa Mwautwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mjini na kutoa Elimu juu ya Ukatili wa Kijinsia Haki za watoto na Msaada wa kisheria kwa Wanafunzi na Walimu Shuleni hapo.
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #…
Posted:
Shule ya sekondari Ilboru, msaada wa kisheria.
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya
Posted:
Maafisa Maendeleo Dawati la Msaada wa kisheria walitoa elimu ya kisheria kwa wanafunzi wa sekondari ya Unyambwa iliyopo kijiji cha Ipingu kata ya Unyambwa, Halmashauri ya Manispaa ya Singida na kuwasihi wanafunzi kuzingatia masomo kwani shule inagubikwa na changamoto ya utoro ulikithiri.



