Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. 📅 Tarehe: 18 Februari 2025 📍 Mahali: Mwanza…
Posted:
Mbunge wa Ilemela, Mhe. Anjelina Mabula, amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Mwanza, hususan wilaya ya Ilemela, kutumia fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC).Mbunge wa Ilemela, Mhe. Anjelina Mabula, amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Mwanza,…
Posted:
Posted:
#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, aliongoza uzinduzi huo kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria. Katika hotuba yake, Mtanda aliwahimiza wakazi wa Mwanza kujitokeza kwa wingi ili kupata msaada wa kisheria unaotolewa kupitia kampeni hii.@airtanzania_atcl @arusha_nationalpark  #sisinitanzania…
Posted:
Dawati la msaada wa kisheria halmashauri ya wilaya ya Morogoro wamefanikiwa kushiriki kikao pamoja na mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii ambacho kilikuwa na lengo la kuwajengea uwezo wana vikundi wote wa Kijiji cha Mvuha ili wawe na uelewa juu ya maswala mazima ya mikopo ya 10% na kuelimishwa juu…
Posted:
Maafisa Maendeleo ya Jamii wametembelea Kata ya Sambasha ambapo wamefanikiwa kufika shule ya Msingi pamoja na Sekondari Sambasha ili kuweza kuwapatia Elimu juu ya msaada wa kisheria. #MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya 
Posted:
Maafisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani wakitoa Elimu ya Msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Huduma za Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika shule ya Msingi Sanze iliyopo kata ya Kisarawe. Wanafunzi wameelimishwa kuhusu Matunzo ya watoto, Haki za…
Posted:
Mwanza, 17 Februari 2025 – Maandalizi ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza yamekamilika kwa asilimia 100, huku wananchi wakihamasishwa kushiriki kwa wingi katika tukio hili muhimu. Kampeni hii inalenga kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi wa…