Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Dawati la Msaada wa kisheria MSLAC. Halmashauri ya wilaya ya Busega imetembelea kata ya Lamadi katika mkutano wa uundaji wa Jukwaa la wanawake kiuchumi na maandalizi ya siku ya wanawake Duniani. Vilevile imetoa Elimu ya msaada wa kisheria kuhusu utatuzi wa migogoro mbalimbali.#MSLAC #KatibanaSheria…
Posted:
Maafisa hao walienda shuleni hapo ili kuwapa elimu kuhusu dawati la msaada wa kisheria na kuwafundisha watoto wa shule ya msingi Mang’onyi kuhusu sheria ya mtoto na haki zao pia walipata muda wa kuwasikiliza changamoto zao wanazo pitia. #MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #…
Posted:
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya
Posted:
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya
Posted:
Wamefanikiwa kutembelea ofisi za ardhi na kukutana na afisa ardhi wa halmashauri kwa ajili ya kufuatilia na kupata mrejesho wa migogoro ya ardhi ya  wananchi  iliyokuwa ikitafutiwa ufumbuzi. Pia, wamepata nafasi ya kutambulisha dawati la msaada wa kisheria kwa mkuu wa Idara ya Ardhi na…
Posted:
@mslegalaidcampaign @katibanasheria_ @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @sisinitanzania @kassim_m_majaliwa @damasndumbaro_official #sheria #sherianakatiba #katibanasheria #sheriatanzania #sisinitanzania #tanzaniampya #mamasamia #samiasuluhu #msaadawamama #mslac #mslactanzania #…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendela katika Mtaa wa Mlamke, kata ya ILALA katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Mkoa wa Iringa -Maafisa Maendeleo ya Jamii-Dawati la Msaada wa kisheria wameendelea kutoa Elimu ya Msaada wa kisheria, ukatili wa Kijinsia, Haki za binadamu, haki za…
Posted:
Elimu ya msaada wa kisheria ikitolewa na maafisa maendeleo ya jamii dawati la Msaada wa kisheria kwa wanafunzi wa HOLLY CROSS PRIMARY SCHOOL ndani ya Mahakama kuu ya mkoa wa Morogoro Manispaa ya Morogoro.@mslegalaidcampaign @katibanasheria_ @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @…