Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo tarehe 8 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa alipomtembelea Mhe. Waziri katika Ofisi za Wizara Mtumba jijini Dodoma kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini.Katika…
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko@katibanasheria_ @profkabudipjam @Victoria.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko@katibanasheria_ @profkabudipjam @Victoria.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan
Posted:
Ni jukumu letu kama viongozi kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu ya msingi ya kisheria ili kuondoa ukosefu wa haki unaotokana na kutokuelewa sheria." Rais Dkt @SuluhuSamia#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan
Posted:
Elimu hiyo imelenga kuwawezesha wananchi kuelewa haki zao na kushughulikia changamoto mbalimbali za kisheria katika maisha yao ya kila siku. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango…
Posted:
Halima, mjane wa miaka 45 kutoka Lyabukande, Shinyanga, alikumbana na changamoto baada ya kifo cha mume wake, Hamisi, pale ndugu wa mume walipotaka kumvua mali zote za familia. Bila uelewa wa sheria, alihisi hana msaada hadi alipopewa msaada na mawakili wa MSLAC.  Mawakili walimsaidia kisheria…
Posted:
Huduma hizi zimeongeza ufahamu kuhusu masuala ya kisheria na kumsaidia mwananchi mwenye changamoto za kisheria kupata usaidizi wa haraka na kwa urahisi. Lengo la huduma hizi ni kuhakikisha haki inapatikana kwa kila mtanzania, hasa katika maeneo ya vijijini, na kuimarisha ufanisi wa mifumo ya haki…
Posted:
Msaada huu ni Bure kwa Watanzania wote! #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Posted:
Elimu hiyo imejikita katika masuala ya migogoro ya ardhi, mirathi, ukatili wa kijinsia, matunzo ya watoto, na haki za binadamu. Mpango huu unalenga kuwawezesha wananchi kuelewa haki zao na kutumia njia za kisheria kutatua migogoro kwa amani. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #…