Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) inawapenda na kuwathamini Watanzania wote! Tunayo furaha kuwakaribisha katika mwaka mpya wa 2025 huku tukiwa na matumaini makubwa ya maendeleo, mshikamano, na haki kwa kila mmoja. Kwa moyo wa uzalendo na dhamira ya dhati ya kuimarisha maisha…
Posted:
Gusa link hapo chini tuendelee kuelimika zaidi https://matokeochanya.blogspot.com/2024/12/je-kampeni-ya-msaada-wa-kisheria-ya.html… #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango
Posted:
youtube.com/live/rP1BPXBSSOw?si=zt83G1mL25DP1IPV
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama (MSLAC), inayotekelezwa kwa kushirikiana na serikali, mashirika yasiyo ya kiserikali, na vyombo vya habari, imeweka mikakati madhubuti kuhakikisha kuwa ujumbe wake unawafikia wananchi walioko vijijini na maeneo yenye changamoto za mawasiliano. Hatua hizi…
Posted:
Msaada wa kisheria ni haki ya msingi ambayo inalenga kuhakikisha kila raia wa Tanzania anapata fursa ya kutetea haki zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria mbalimbali zilizopo. Katiba ya Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a), inatamka wazi kuwa kila mtu ana haki ya…
Posted:
Ni jukumu la kila raia na wadau kushiriki katika juhudi hizi kwa kuhakikisha kila Mtanzania anafikiwa na haki zake kwa mujibu wa sheria. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
Kampeni hii inalenga kuwafikia makundi yote ya jamii, hasa wale walioko pembezoni ambao mara nyingi hukosa fursa ya kutetea haki zao kwa sababu ya changamoto za kiuchumi na ukosefu wa uelewa wa kisheria.Kampeni hii ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa kuimarisha upatikanaji wa haki kwa kila Mtanzania…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ( MSLAC) inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa Watanzania wote, hususan wale wanaokumbwa na changamoto za kupata huduma za kisheria kwa sababu ya ukosefu wa fedha au uelewa. Kampeni inatoa msaada katika nyanja mbalimbali za sheria ikiwemo haki za…
Posted:
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama wameonyesha furaha na shukrani zao za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa kuanzisha na kufanikisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC). Kampeni hii inalenga kuhakikisha haki za wananchi,…
Posted:
#Msaada wa Kisheria Popote na Kwa Hali yoyote! #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko@katibanasheria_ @profkabudipjam @victoria.mwanziva @tanganyikalawsociety @…
Posted:
Katika mkoa wa Songwe, wilaya ya Momba, halmashauri ya Momba, kata ya Ivuna, kijiji cha Ivuna, mama mmoja ambaye alitelekezwa na mume wake pamoja na watoto wake amepata furaha baada ya kupatiwa msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid. Mama huyo alikumbwa na changamoto kubwa…
Posted:
Maafisa maendeleo ya jamii pamoja na maafisa msaada wa Kisheria Wilaya ya Dodoma Mjini katika Mkutano wa Wananchi Kata ya Mkonze Mtaa wa Bwawani wakitoa elimu kuhusu Ukatili wa kijinsia pia kutoa elimu kuhusu Msaada wa Kisheria na kuwaeleza juu ya uwepo wa dawati la msaada wa kisheria wamefurahia…