Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Maafisa maendeleo ya jamii dawati msaada wa Kisheria Wilaya ya Dodoma Mjini katika Mkutano wa Wananchi Kata ya Mtumba, Mtaa wa Mtumba wakitoa elimu kuhusu Msaada wa Kisheria na kuwaeleza juu ya uwepo wa dawati la msaada wa kisheria wamefurahia juu ya uwepo wa dawati hili katika kutatua changamoto…
Posted:
Watalamu wa msaada wa kisheria wamewezesha ununuzi wa baadhi ya dawa kwa ajili ya mtoto aliyekuwa amelazwa hospitali ya mkoa wa Ruvuma. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano
Posted:
Kampeni hii inalenga kutoa elimu ya kisheria, ushauri, na huduma za kisheria kwa wananchi wa maeneo mbalimbali nchini.Kwa kushirikiana na wadau wa sheria, serikali kupitia MSLAC imekuwa ikifanya kazi ya kufanikisha upatikanaji wa haki kwa kila mtu, hususan wale wanaoishi maeneo ya vijijini, ambako…
Posted:
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo wamekuwa wakifika kwenye dawati hilo wakiwa na changamoto za kisheria, ikiwemo masuala ya mirathi, ndoa, migogoro ya ardhi, na masuala ya unyanyasaji wa kijinsia. Afisa huyo amekuwa akiwapokea kwa makini na kusikiliza hoja zao kwa lengo la kuwapa…
Posted:
Wametembelea Kituo cha Masister cha “Moyo Safi” kilichopo Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Kituo hiki kimejikita katika kusaidia wanawake wajane, wanawake waliozalishwa na kutelekezwa, pamoja na wale wenye changamoto za kiuchumi, kwa kuwapatia mafunzo ya ujuzi ili kuwawezesha kujitegemea na…
Posted:
Katika jitihada za kuimarisha upatikanaji wa haki na amani kwa jamii, timu ya Maafisa Maendeleo ya Jamii (CDOs) ikishirikiana na Baraza la Kata la Migogoro la Mpandandogo, Halmashauri ya Tanganyika, ilifika katika eneo la shamba lililokuwa na mgogoro wa mipaka. Ziara hiyo, iliyoendeshwa chini…
Posted:
Kampeni hii imepokelewa vizuri na wananchi wa maeneo husika, hasa katika kata ya Kiberege, ambako wengi wamejitokeza kwa wingi kupokea elimu hiyo muhimu. Hatua hii inaonyesha mwitikio mkubwa wa jamii kuelewa haki zao na namna ya kuzilinda. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #…
Posted:
Akizungumza wakati akihitimisha kikao hicho kilichodumu kwa muda wa siku kumi Waziri wa Katiba na Sheria na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Sheria wa Umoja wa Afrika kutoka Nchini Tanzania Mhe.Dkt. Damas Ndumbaro amewashukuru Wajumbe wa Baraza hilo kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la…
Posted:
Katika juhudi za kuhakikisha haki inawafikia wananchi wa kila kona ya Tanzania, huduma ya msaada wa kisheria sasa imeimarishwa kwa kupata usafiri wa kisasa. Hatua hii ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa huduma za kisheria kwa wananchi wote, hususan wale wa maeneo ya vijijini na walio katika…
Posted:
Msaada wa kisheria umeonyesha umuhimu wake kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kukuza utawala wa sheria, kupunguza ukosefu wa usawa wa kijamii, na kuwasaidia wananchi kudai haki zao kwa misingi ya sheria za nchi. #MSLAC. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #…
Posted:
Msaada wa kisheria hutoa elimu ya kisheria kwa jamii, jambo linalosaidia kuongeza uelewa wa masuala ya sheria na kuwajengea uwezo wa kulinda na kudai haki zao. #MSLAC. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @…
Posted:
Huduma za msaada wa kisheria husaidia kupunguza changamoto hizi kwa kuwasaidia watu wasiojiweza kufungua kesi zao kwa haraka, kufuatilia mwenendo wa mashauri, na kuhakikisha wanapata haki kwa wakati. #MSLAC. #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @…