Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Elimu hiyo imelenga kuwasaidia wananchi kuelewa haki zao za kisheria na jinsi ya kushughulikia migogoro kwa njia za kisheria. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan@ikulumawasliano
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Posted:
Katika zoezi lililofanyika hivi karibuni, mwananchi mmoja kutoka kijiji cha Kisiju aliwasilisha kesi ya mgogoro wa ardhi ambayo ilihitaji ufafanuzi wa kisheria. Afisa huyo alimsikiliza kwa makini na kutoa maelezo ya kina kuhusu sheria za ardhi na namna ya kushughulikia mgogoro huo kwa njia ya amani…
Posted:
Maafisa maendeleo dawati la msaada wa kisheria Wakitoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi wa mtaa wa barabara ya moto kata ya mdoe ,elimu imepokelewa kwa shangwe na wameahidi kutoa ushirikiano na kuwa mabalozi kwa wengine juu ya uwepo wa dawati la msaada wa kisheria #MSLAC #…
Posted:
Mafunzo hayo yaliyotolewa kwa ustadi mkubwa yalilenga kuwaelimisha washiriki kuhusu haki za kisheria na mbinu za kutatua changamoto za kisheria zinazowakumba wananchi wa kawaida. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan…
Posted:
Mama mmoja aliyekuwa na mgogoro wa ardhi amefanikiwa kupata haki yake kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), iliyofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa, mkoani Iringa. Wakati wa kampeni hiyo, mama huyo alifika na kueleza changamoto yake ya mgogoro wa…
Posted:
Lengo kuu la elimu hiyo ni kuhakikisha haki za binadamu na makundi yenye uhitaji maalum wa msaada wa kisheria zinalindwa na kutetewa. Elimu hiyo ilihusu masuala muhimu kama haki za mirathi, ndoa, ukatili wa kijinsia, matunzo ya watoto, na namna ya kushughulikia migogoro mbalimbali. Kupitia…
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Posted:
Halmashauri ya mji wa Newala. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Posted:
Wananchi wanahamasishwa kuendelea kushiriki kikamilifu kwenye programu hizi ili kuhakikisha haki na maendeleo vinaendelea kuimarika katika jamii yao. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu…
Posted:
Wananchi wamesisitiza kuwa kampeni hii imeleta faraja na matumaini kwa familia nyingi ambazo hapo awali zilishindwa kutafuta haki zao kutokana na ukosefu wa uwezo wa kifedha. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @…
Posted:
Handeni, Tanga – Maafisa Maendeleo kutoka Dawati la Msaada wa Kisheria katika Halmashauri ya Mji wa Handeni wameendesha zoezi la kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF). Katika kikao hicho, wanufaika walielimishwa kuhusu haki zao za kisheria,…



