Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Huduma zinazotolewa kupitia kampeni hii ni pamoja na: ⚖️ Ushughulikiaji wa migogoro ya ardhi – elimu kuhusu umiliki wa ardhi na usaidizi katika kutatua migogoro ⚖️ Migogoro ya ndoa na masuala ya talaka ⚖️ Masuala ya mirathi – mgawanyo wa mali baada ya kifo ⚖️ Ulinzi dhidi ya ukatili wa kijinsia na…
Posted:
Tazama jinsi maandalizi na mapokezi ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia yalivyofanyika mkoani Kagera kwa hamasa na mshikamano mkubwa. Kampeni hii inalenga kuhakikisha wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji maalum kama wanawake, watoto na watu wenye ulemavu, wanapata…
Posted:
Usisahau Kusubscribe Kulike na Kushare Habari hii.                                                 #hakikwawote #mslac #katibanasheria #sisinitanzania #msaadawakisheria #…
Posted:
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Bw. Isaya Kandega, amefungua rasmi mafunzo ya utoaji wa huduma za msaada wa kisheria chini ya kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign. Katika hotuba yake ya uzinduzi, Bw. Kandega amesisitiza umuhimu wa huduma hizi katika kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa…
Posted:
Mkurugenzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, Bi. Esther Msambazi, akizungumza katika ufunguzi rasmi wa mafunzo ya utoaji wa msaada wa kisheria mkoani Kagera. Mafunzo haya yamekusudiwa kuwajengea uwezo watoa huduma za msaada wa kisheria, ili waweze kuwahudumia wananchi kwa ufanisi…
Posted:
@SuluhuSamia@ikulumawasliano @sisiniTanzania@DBiteko@udom #MSLAC #Katibanasheria #Ikulumawasiliano #SSH    
Posted:
Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria, Bi. Esther Msambazi, ametangaza kuwa Mkoa wa Kagera unakuwa mkoa wa 25 nchini kufikiwa na kampeni ya msaada wa kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea uzinduzi rasmi wa kampeni hiyo, Bi. Msambazi amesema kuwa lengo ni kuhakikisha wananchi…
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Fatma Mwassa, ametoa wito kwa watumishi wa umma kutumia kampeni ya msaada wa kisheria kama sehemu ya kujifunza na kuboresha namna ya kushughulikia changamoto za wananchi. Akizungumza kuelekea uzinduzi wa kampeni hiyo utakaofanyika Bukoba – Uwanja wa Mayunga, Mhe. Mwassa…
Posted:
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Bw. Stephen Mashauri Ndaki akiongoza kikao cha maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Kagera uzinduzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 14  Aprili, 2025 katika viwanja vya Jamhuri (Mashujaa) mkoani humo. Kikao hicho…
Posted:
Muda wa kufutwa machozi kwa wakazi wa mkoa wa Kagera ni sasa  kupitia kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia,uonapo tangazo hili mjuze na mwenzio ilituweze kujumika na kuelimika kwa pamoja kuhusu maswala ya ndoa,mirathi,ardhi,ukatili wa kijinsia na mwisho wa yote kupata usuluhishi na…