Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Elimu iliyotolewa ilihusu:
Maana na umuhimu wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria (MSLAC)
Masuala yanayoshughulikiwa na kampeni hiyo
Ukatili wa kijinsia na jinsi ya kuzuia
Athari za mimba za utotoni
Madhara ya matumizi mabaya ya teknolojia na mitandao
Haki za binadamu na mtoto
Wanafunzi…
Posted:
mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2025/02/wakurugenzi-wa-idara-mbalimbali-za.html…
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango
@biteko
@katibanasheria_
@profkabudipjam
@victoria.…
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango
@biteko
@katibanasheria_
@profkabudipjam
@victoria.mwanziva
@TanganyikaLaw
Posted:
https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2025/02/mslac-yaongoza-mapambano-ya-kijamii-kwa.html…
#MSLAC #Mamasamialegalaidcampaign #SSH #Katibanasheria #SisiniTanzania #MatokeoChanya #Kampeniyamsaadawakisheria
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC) inaendelea na shughuli zake za kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi katika kijiji cha Mabogini, kata ya Mabogini, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Wananchi wamepata mafunzo juu ya masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, migogoro ya kifamilia,…
Posted:
Dawati la msaada wa kisheria wilayani Kilosa limefanikiwa kusuluhisha mgogoro wa muda mrefu kati ya wakulima na wafugaji waliovamia maeneo ya wakulima katika vijiji vya Nyali na Zombo Lumbo. Katika mazungumzo ya usuluhishi, ilibainika kuwa upande wa wafugaji ulishindwa kuthibitisha umiliki halali…
Posted:
Mwangeza, Tanzania – Februari 2025: Wanakijiji wa kabila la Hadzabe kutoka kitongoji cha Kipamba, kijiji cha Munguli, kata ya Mwangeza, wamepata fursa ya kuelimishwa kuhusu haki za makundi mbalimbali ya binadamu kupitia kampeni ya msaada wa kisheria. Elimu hii imelenga kuwawezesha wanakijiji hao…
Posted:
Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeendelea kutoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wa Kata ya Buhendangabo, wilayani Bukoba, mkoani Kagera. Elimu hii inalenga kuwawezesha wananchi kuelewa haki zao kisheria katika masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira, na ukatili wa…
Posted:
Huduma ya msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inaendelea katika Halmashauri ya Hai, mkoani Kilimanjaro, ikiwa na lengo la kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi. Wananchi wanapewa mwongozo juu ya masuala ya ardhi, ndoa, mirathi, mikataba ya ajira, na ukatili wa…
MSLAC yaungana na Wanafunzi wa Sekondari ya Kiperesa Kupinga Ukatili wa Kijinsia na Maovu Mbalimbali
Posted:
Kiperesa, Tanzania — Afisa Maendeleo kutoka Dawati la Msaada wa Kisheria ameungana na wanafunzi wa Sekondari ya Kiperesa katika tukio maalum lililolenga kutoa elimu na kuhamasisha kupinga ukatili wa kijinsia, unyanyasaji wa kijinsia, na maovu mengine yanayowaathiri vijana.Wakiwa wamekusanyika kwa…
UTOAJI WA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA WAENDELEA MANISPAA YA IRINGA KWA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI
Posted:
Iringa, 7 Februari 2025 — Manispaa ya Iringa imeendelea kutoa huduma muhimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi, hususan katika kutatua migogoro ya ardhi ambayo imekuwa changamoto kubwa kwa familia na jamii katika maeneo mbalimbali ya halmashauri hiyo.Huduma hii, inayoratibiwa na maafisa wa sheria…



