Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
ELIMU ILIYOWEZA KUTOLEWA ILIKUWA NI:  Elimu ya ukatili wa kijinsia  Elimu Ya umuhimu wa Elimu  Elimu ya Athari za Mimba katika umri mdogo  Elimu ya Umuhimu wa kujitambua na kujiamini  Elimu ya Haki za binaadamu Elimu ya Haki za mtoto Elimu kuhusu umuhimu wa utawala bora…
Posted:
Magomeni- Kilosa DCElimu iliyotolewa ni kuhusu sheria ya mtoto na ukatili wa kijinsia.Wanafunzi wameonekana kufurahia elimu hio na itasaidia kupunguza matukio mengi ya ukatili ambayo yamekuwa yakitokea ndani na nje ya shule.
Posted:
Mkutano huo ulikuwa na agenda kuu moja ya Elimu ya msaada wa kisheria na kusikiliza migogoro baada ya Elimu ya msaada wa kisheria. #Mslac #Ssh #KaziIendelee
Posted:
@SuluhuSamia  #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #matokeochanya #sisinitanzania #SSH
Posted:
Pia imetolewa elimu ya msaada wa kisheria wa mama Samia katika masuala ya ukatili wa kijinsia, mirathi, haki za watoto na malezi ya watoto. Wanafunzi walitoa shukrani
Posted:
Na kufanikiwa kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia, haki za watoto na haki za makundi mbalimbali kwa wanafunzi wa shule hiyo. Pia tulipata wasaa wa kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wazazi. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #matokeochanya #sisinitanzania #SSH
Posted:
LEO TAREHE 6.2.2025  Katika Halmashauri ya wilaya ya Bahi imefanyika Hafla ya kukabidhiwa vyumba vya madarasa na utoaji tuzo kwa waandishi wa habari kwa mradi wa shule bora ambapo pia Maafisa Maendeleo kutoka Dawati la Msaada wa Sheria waliudhuria.Mgeni rasmi ni Waziri TAMISEMI ndugu Mohamed…
Posted:
    @SuluhuSamia #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #matokeochanya #sisinitanzania #SSH
Posted:
Kwa kutambua mchango wa Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC)  katika juhudi za utoaji wa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi wa Halmashauri ya Itilima.
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan