Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam, wahudumu wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) wameendelea kutoa msaada wa kisheria bure kabisa kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali. Wananchi waliotembelea banda la MSLAC wameeleza kufurahishwa na…
Posted:
Wanasheria na maofisa wa MSLAC wanaendelea kutoa huduma kwa moyo wa kujitolea, wakitoa ushauri wa moja kwa moja kwa wananchi, huku wakihamasisha utatuzi wa migogoro kwa njia ya maridhiano. #mslac #hakikwawote #daressalaam #samiasuluhu #siondototena #msaadawakisheria
Posted:
Maelfu ya wananchi wamejitokeza katika banda la MSLAC katika Viwanja vya Sabasaba ili kupata elimu juu ya haki zao, masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira na ukatili wa kijinsia – yote yakitolewa bure na wataalamu wa sheria.   #hakikwawote #mslac #msaadawakisheria #siondototena #…
Posted:
 Katika Maonesho ya 61 ya Kimataifa ya Biashara ya SabaSaba, yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam – Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeweka historia kwa kujenga kambi rasmi ya utoaji elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, ikiwa ni…
Posted:
      
Posted:
    
Posted:
Katika juhudi za kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wote, WLAC (Women's Legal Aid Centre) inaendelea kusimama bega kwa bega na wananchi wa Dar es Salaam kwa kutoa elimu na msaada wa kisheria bure kwa makundi mbalimbali katika jamii. Kupitia programu hii ya kipekee: ✅ Wananchi wanapata uelewa juu ya…
Posted:
Adhabu hizi husaidia kupunguza msongamano wa magereza, kuokoa rasilimali za serikali, na kurejesha wahalifu kuwa raia wema. 👨‍⚖️ Je, Tanzania inatekeleza mfumo huu ipasavyo? 🎯 Jifunze namna mfumo wa sheria unavyolenga haki na si kisasi. 🔔 Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili kupata…
Posted:
Mbagara, viwanja vya Maturubai vimewaka moto wa haki! Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za kisheria imefika kwa wananchi kutoa msaada wa kisheria na elimu juu ya haki zao za msingi. Wananchi wamejitokeza kwa wingi kupata huduma za bure ikiwemo…
Posted:
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imeungana rasmi na Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Kupitia ushirikiano huu, wananchi sasa wanapata fursa ya: ⚖️ Kupata ushauri wa kisheria moja kwa moja kutoka kwa waendesha mashtaka ⚖️…