Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Wanawake wa jamii za kifugaji wameelezea shukrani zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaletea elimu na msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC). Kupitia kampeni hii, wamama wa kifugaji wamepata uelewa kuhusu haki zao…
Posted:
Mlangarini, Arusha – Katika jitihada za kuondoa sintofahamu kuhusu mipaka ya eneo la uchimbaji mawe, Dawati la Msaada wa Sheria kwa kushirikiana na maafisa ardhi pamoja na afisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wamefika katika Kata ya Mlangarini kutoa elimu ya sheria na…
Posted:
Pastor George kutoka Cameroon amepongeza juhudi za Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, katika kuanzisha na kuendeleza Kampeni ya Msaada wa Kisheria (MSLAC). Akitilia mkazo umuhimu wa mpango huu, Pastor George amesema kuwa kampeni hii ni fursa adhimu kwa Watanzania, hasa wale wa kipato cha…
Posted:
🔔 Usisahau KUSUBSCRIBE kwa habari zaidi za maendeleo ya Tanzania!
👍🏽 Like | 💬 Comment | 🔄 Share
#SamiaSuluhu #Tanzania #Maendeleo #Miundombinu #SGR #UchumiImara #kaziiendelee #mslac #sisinitanzania #katibanasheria #matokeochanya #nchiyangukwanza #nchiyangukwanza #hakikwawote #hakikwawote #…
Posted:
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanyaA
Posted:
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya
Posted:
Ambalo kimkoa linafanyika halmashauri ya wilaya ya msalala, kata ya bugarama katika ukumbi wa Carebean.Mada mbalimbali zilizo tolewa ni kama ifuatavyo;
1. Elimu ya msaada wa kisheria.
2. Malezi na makuzi.
3. Mwanamke na uongozi.
4. Afya ya akili.
5. Uwezashaji kiuchumi.
MSLAC walipata fursa…
Posted:
Ni maneno yenye uzito mkubwa kutoka kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, yakisisitiza mshikamano, upendo, na mshikamano wa Watanzania katika kujenga taifa imara.Katika hotuba hii, Rais Samia anahimiza umuhimu wa kusaidiana kama jamii, kushirikiana katika maendeleo, na kuwa na moyo wa…
Posted:
Mfumo wa sheria unapaswa kuwa chombo cha kulinda haki za wananchi na kuhakikisha kuwa kila mtu anapata huduma za kisheria kwa usawa. Alisisitiza kuwa misingi ya sheria inapaswa kujengwa katika utoaji wa haki kwa wote bila upendeleo, huku akihimiza kuwa mamlaka zinazohusika zinapaswa kufanya kazi…
Posted:
Tanzania inaendelea kuthibitisha kuwa ni kinara wa haki na usawa kwa wote, bila kujali uraia au asili. Raia wa Cameroon, PASTOR GEORGE ACHO, ambaye alikutana na changamoto za kisheria nchini, ameweza kupata msaada wa kisheria kwa haraka na bila vikwazo kupitia mpango wa Samia Legal Aid Campaign (…
Posted:
MAMA SAMIA LEGAL LEGAL AID YAMPATIA MWANAIDI HAKI YA ARDHI ILIYOTOLEWA KWA SHULE
Katika kampeni maalumu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayoendelea katika Uwanja wa TBA jijini Arusha, Mwanaidi Mussa Hussein ameonesha furaha kubwa baada ya kupata haki yake ya ardhi aliyoikosa zaidi ya miongo…