Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia, haki imetendeka na wananchi wamepata suluhisho la kudumu. Serikali inaendelea kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wote! 💙🇹🇿 #MamaSamia #MsaadaWaKisheria #HakiKwaWote #Tanzania #Suluhisho
Posted:
Lengo kuu ni kuwawezesha wananchi kujua haki zao, kutatua migogoro kwa njia za kisheria, na kupata usaidizi wa kisheria pale inapohitajika.#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #…
Posted:
Moja ya kampeni hizo ni Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), ambayo inalenga kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini.#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #…
Posted:
1. Utangulizi Kampeni ya MSLAC ilifanyika katika mikoa ya Lindi, Mwanza, Pwani, Mbeya na Rukwa, na ilishuhudia ongezeko kubwa la ushiriki na mwonekano wake katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. •Kutajwa (Mentions): Ziliongezeka kutoka 628 hadi 3,200. •Ufikio (Reach): Uliongezeka kutoka…
Posted:
Shule hio ipo kata ya hale,halmashauri ya wilaya ya korogwe Mkoa wa Tanga. Jumla ya wanafunzi 1,068(596 wavulana na 472 wasichana) kutoka kidato cha l hadi cha IV wamepatiwa elimu hiyo.#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #MSLAC…
Posted:
#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Posted:
Timu iliohusika kwenye kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama samia wilaya ya  Hai, imemkabidhi Mzee Assery Mushi, Shamba lake lenye ukubwa wa heka 1,  katika kitongoji cha Landi, kijiji cha Kikavu chini, kata ya weruweru, wilaya ya Hai, Mkoa wa kilimanjaro, kutokana na Mgogoro wa shamba…
Posted:
Kata ya oldadai, kijiji cha oldadai#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #MSLAC @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Posted:
Katika hatua muhimu ya kurejesha haki kwa wananchi, Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wilayani Hai imemkabidhi rasmi Mzee Assery Mushi shamba lake lenye ukubwa wa hekari moja lililopo katika kitongoji cha Landi, kijiji cha Kikavu Chini, kata ya Weruweru, wilaya ya Hai, mkoa wa…
Posted:
#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #MSLAC @ccm_tanzania  @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania  @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Posted:
Juhudi ya Serikali ni kuhimiza wananchi kushiriki na kupata elimu ya kisheria ili waweze kunufaika na haki zao. #kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #MSLAC @ccm_tanzania @issatimbe2 @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @…
Posted:
📢 “Tunashukuru kwa elimu hii ya msaada wa kisheria, kuna mambo mengi yanatupita tukiwa kijijini, kuna manyanyaso mengi tunapitia na hatujui ni wapi tutakimbilia. Ila kupitia elimu hii, tunaona mwanga wa haki!”   Katika video hii, wananchi wanashuhudia jinsi elimu ya msaada wa kisheria…