Video
Posted:
Huduma zinazotolewa kupitia kampeni hii ni pamoja na:
⚖️ Ushughulikiaji wa migogoro ya ardhi – elimu kuhusu umiliki wa ardhi na usaidizi katika kutatua migogoro
⚖️ Migogoro ya ndoa na masuala ya talaka
⚖️ Masuala ya mirathi – mgawanyo wa mali baada ya kifo
⚖️ Ulinzi dhidi ya ukatili wa kijinsia na…
Posted:
Tazama jinsi maandalizi na mapokezi ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia yalivyofanyika mkoani Kagera kwa hamasa na mshikamano mkubwa.
Kampeni hii inalenga kuhakikisha wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji maalum kama wanawake, watoto na watu wenye ulemavu, wanapata…
Posted:
Usisahau Kusubscribe Kulike na Kushare Habari hii. #hakikwawote #mslac #katibanasheria #sisinitanzania #msaadawakisheria #…
Posted:
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Bw. Isaya Kandega, amefungua rasmi mafunzo ya utoaji wa huduma za msaada wa kisheria chini ya kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign.
Katika hotuba yake ya uzinduzi, Bw. Kandega amesisitiza umuhimu wa huduma hizi katika kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa…
Posted:
Mkurugenzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, Bi. Esther Msambazi, akizungumza katika ufunguzi rasmi wa mafunzo ya utoaji wa msaada wa kisheria mkoani Kagera. Mafunzo haya yamekusudiwa kuwajengea uwezo watoa huduma za msaada wa kisheria, ili waweze kuwahudumia wananchi kwa ufanisi…
Posted:
Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria, Bi. Esther Msambazi, ametangaza kuwa Mkoa wa Kagera unakuwa mkoa wa 25 nchini kufikiwa na kampeni ya msaada wa kisheria.
Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea uzinduzi rasmi wa kampeni hiyo, Bi. Msambazi amesema kuwa lengo ni kuhakikisha wananchi…
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Fatma Mwassa, ametoa wito kwa watumishi wa umma kutumia kampeni ya msaada wa kisheria kama sehemu ya kujifunza na kuboresha namna ya kushughulikia changamoto za wananchi.
Akizungumza kuelekea uzinduzi wa kampeni hiyo utakaofanyika Bukoba – Uwanja wa Mayunga, Mhe. Mwassa…
Posted:
Katika tukio la kihistoria lililojiri wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Tanga, Askari Halima Mvula Komba aliibua hoja nzito mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, akieleza changamoto zinazomkabili katika kufuatilia haki zake baada ya…
Posted:
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia uliofanyika mkoani Tanga, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amemsikiliza Elisha John, mchezaji wa mpira wa miguu mstaafu, aliyewasilisha mgogoro wake unaohusiana na masuala ya haki na ustawi wa maisha yake baada ya…
Posted:
Katika mwendelezo wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Tanga, Sophia Ramadhan Msikiti aliibua madai ya mirathi mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro. Sophia, ambaye alikuwa mke wa pili wa marehemu, alieleza jinsi shemeji yake anavyotaka kuuza nyumba…