Skip to main content

Video

Posted:
Dhamira ya kweli ya kuwakomboa Watanzania inadhihirika kupitia huduma za msaada wa kisheria bure kwa wananchi wa kawaida.   Katika video hii, tunashuhudia jinsi Serikali inavyowafikia wananchi moja kwa moja mitaani, vijijini na mijini—kuwasikiliza, kuwashauri na kuwatatulia changamoto…
Posted:
✅ Elimu ya sheria kwa lugha nyepesi na inayoeleweka,   ✅ Ushauri wa kisheria bila malipo,   ✅ Huduma za kuandika wosia, mikataba na barua za madai,   ✅ Usuluhishi wa migogoro kwa njia ya amani. Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania hawana uelewa wa kutosha…
Posted:
Bukoba Vijijini, Kagera – Katika kile kinachoonekana kuwa ushindi mkubwa wa haki na mafanikio ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, Bi. Adelina Katula mkazi wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini hatimaye amepata haki yake ya kupita katika kiwanja cha nyumba yake, baada ya miaka kadhaa ya…
Posted:
Katika video hii ya kusisimua na yenye mguso wa kipekee, tazama jinsi Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, alivyosikiliza kwa makini kilio cha mzee mmoja aliyejitokeza kuomba msaada wa kisheria. Baada ya kusikiliza kwa huruma na umakini mkubwa, Waziri alitoa maelekezo ya haraka kwa…
Posted:
Migogoro ya ardhi imekuwa chanzo kikuu cha mifarakano ndani ya familia nyingi hapa nchini. Lakini je, ni nini kifanyike ili familia ziishi kwa amani na mshikamano? Katika video hii, Mama wa Kata ya Kashai, mkoani Kagera, anatoa maelezo ya kina na ushauri mzito kuhusu namna bora ya kuepuka migogoro…
Posted:
Katika tukio lililozua msisimko na mvuto mkubwa, Afisa Ustawi wa Jamii amejikuta kwenye wakati mgumu mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, wakati wa ziara yake mkoani Kagera. Tukio hili lilitokea hadharani mbele ya viongozi wa Serikali, wananchi na vyombo vya habari, na…
Posted:
Usisahau Kusubscribe Kulike na Kushare Habari hii.                                                 #hakikwawote #mslac #katibanasheria #sisinitanzania #msaadawakisheria #…
Posted:
#hakikwawote #mslac #katibanasheria #sisinitanzania #msaadawakisheria #nchiyangukwanza #ssh #matokeochanya #kaziiendelee #ccm
Posted:
Ni kauli ya shukrani na kutambua jitihada za Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama  mkoani Kagera baada ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayoigusa jamii moja kwa moja. Wananchi wa Kagera wameonyesha kuthamini kwa vitendo huduma bora zinazowafikia, zikiwemo afya, elimu, miundombinu na…
Posted:
Kauli yenye uzito toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajat Fatma Mwassa, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia tarehe 14 Aprili 2025. Katika hotuba yake, Mhe. Fatma Mwassa amesisitiza umuhimu wa kampeni hii katika kuwafikia wananchi wa kawaida, na kuleta mwamko mpya…
Posted:
Kampeni hii ni zao la dhamira ya kweli na ya dhati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye ameweka wazi kuwa haki ni msingi wa amani, maendeleo na usawa katika jamii. Lengo la kampeni hii ni moja: kufikisha huduma za msaada wa kisheria kwa kila Mtanzania,…
Posted:
Amon Mpanju Naibu Katibu Mkuu  wa Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania. Kupitia kampeni hii, serikali inalenga kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wote kwa njia ya elimu sahihi na huduma rafiki, zinazoeleweka na kufikika kirahisi kwa wananchi wa kawaida. 🎯 Lengo: Haki kwa wote – si kwa wachache…