Skip to main content

Video

Posted:
Waziri wa Katiba na sheria nchini Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa katika  kipindi cha Julai mwaka 2023 hadi Aprili 2024, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliendesha mashauri ya madai 9,013, ikifanikiwa kushinda mashauri 750 sawa na asilimia 77.6% ya mashauri…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amelieleza Bunge la Tanzania kuwa Wizara hiyo kupitia kwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali imeendelea kuhakikisha kuwa sheria za nchi zinaenda na wakati na zinaakisi sera na vipaumbele vya serikali katika nyanja zote za kisiasa, kiuchumi, kijamii…
Posted:
Wizara ya Katiba na sheria nchini Tanzania imeandaa Rasimu ya sera ya Taifa ya Jinai na Mkakati wa utekelezaji wa sera hiyo ambayo kulingana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Sera hiyo inatarajiwa kuidhinishwa na serikali katika mwaka ujao wa serikali 2025/26. Leo Jumatano Aprili…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro amesema Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imewafikia jumla ya wananchi 2,698, 908, kati yao wanaume wakiwa ni 1, 347,325 na wanawake wakiwa 1, 351, 583 katika Mikoa 25 ya Tanzania bara. Aidha Kampeni hiyo pia…
Posted:
Leo tarehe 30 Aprili 2025, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, anawasilisha hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jijini Dodoma. Katika hotuba hii muhimu, Waziri Ndumbaro anaeleza…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Wizara yake inaendelea na uratibu na utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, ambapo kufikia sasa Tayari kampeni hiyo imetekelezwa kwenye mikoa 25 ya Tanzania bara, Dar Es salaam ikisalia peke…
Posted:
Katika jitihada za kuhakikisha haki inapatikana kwa kila Mtanzania bila ubaguzi, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imeendelea kuwafikia wananchi wa kada zote nchini. Kupitia huduma hii bure, wananchi wengi sasa wanapata elimu ya kisheria, msaada wa mashauri yao mahakamani, na njia mbadala…
Posted:
Katika video hii, tunakuletea maoni ya wanazuoni na waratibu wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wakizungumzia namna kampeni hii imeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa haki nchini Tanzania. Kwa sauti zao wenyewe, wanasema: "Huu ni mlango wa haki kwa Watanzania wote!" 📌 Tazama…
Posted:
Kwa mara ya kwanza katika historia, Serikali kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeanza kutoa huduma za kisheria bure kwa wananchi wote wa Zanzibar! 🏝️⚖️Katika tukio lililojaa hamasa na matumaini, wananchi kutoka kila kona ya Visiwa vya Unguja na Pemba wamejitokeza kwa wingi…
Posted:
#MSLAC #SheriaKwaWote #HakiNiMsingiWaMaendeleo #SamiaSuluhuHassan #TanzaniaLegalReform
Posted:
Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) umefanyika tarehe 23 Aprili 2025 katika Kaskazini Unguja, ukiandaliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ofisi ya Rais - Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora chini ya Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria. Mgeni…
Posted:
Usisahau Kusubscribe Kulike na Kushare Habari hii..                                                #hakikwawote #mslac #katibanasheria #sisinitanzania #msaadawakisheria #…