Video
Posted:
Katika tukio la kihistoria lililofanyika Songea, Mkoa wa Ruvuma, maelfu ya wananchi wameguswa na nuru ya haki kupitia *Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC)*. Kwa mara ya kwanza, wananchi wameshuhudia haki ikiwafuata mashinani – kwenye vijiji, mitaa na kata zao.
Kampeni hii imebadilisha maisha ya…
Posted:
Katika hotuba ya kihistoria mjini Songea, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa somo la kina kuhusu haki, sheria, uchaguzi huru na utawala bora. Kwa ufasaha na weledi mkubwa, Dkt. Ndumbaro amewaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kuelewa haki zao za kisheria na kushiriki…
Posted:
Songea, Ruvuma – Katika muendelezo wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), wananchi wa Mkoa wa Ruvuma, hususan Manispaa ya Songea, wameendelea kunufaika na elimu ya kisheria inayogusa maisha yao ya kila siku. Kwa sauti moja, wananchi wametoa kauli ya wazi: "Tunakiu ya haki, elimu…
Posted:
Ujumbe mahiri uliotolewa kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika Mkoa wa Ruvuma, hususan Songea. Ujumbe huu umechochea hisia, uelewa wa haki za kisheria, na ari ya kujua sheria kwa wananchi wa kada zote – kuanzia vijana, wanawake, hadi wazee.
⚖️ MSLAC inaendeleza…
Posted:
Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja kutoka Songea, ambapo mabalozi wa mitaa na wajumbe wao zaidi ya 8,000 wanapatiwa mafunzo ya kina kuhusu sheria, haki za binadamu, uchaguzi huru na utawala bora. Mafunzo haya ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan…
Posted:
Mpango wa Msaada wa Kisheria wa Mama Samia Wavutia Dunia – Madola Yataka Kuiga Mfano wa Tanzania” Katika kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Dkt. Damas Ndumbaro, ameeleza kuwa mpango wa msaada wa kisheria unaoendeshwa chini…
Posted:
Kampeni hii inalenga kuwafikia wananchi wote hasa wanyonge, kwa kuwapatia elimu ya kisheria na msaada wa moja kwa moja kwenye migogoro yao.
📌 Fuatilia tukio hili moja kwa moja na shuhudia namna serikali inavyoweka mbele haki za kila Mtanzania kupitia sheria!
#MSLAC #MsaadaWaKisheria #MamaSamia #…
Posted:
Kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), Watanzania sasa wanapata fursa ya kusikilizwa, kutetewa na kupata haki zao bila gharama. Hii ni hatua kubwa ya kuimarisha amani, mshikamano na maendeleo ya kijamii kwa wote – mijini na vijijini.
🎯 Lengo kuu: Haki kwa kila Mtanzania bila…
Posted:
Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini ameishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa vibali vya ajira kwa sekta ya Mahakama nchini, akishukuru kwa Vibali vya ajira 522 vilivyotolewa mwaka jana na vibali Vingine 1044…
Posted:
Katika kuongeza kasi kwa Utendaji wa Mahakama nchini na kupunguza mrundikani wa mashauri mahakamani, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka 2024/25, imeongeza idadi ya watendaji mbalimbali wa Mahakama ikiwemo Majaji kumi na na Mahakimu 91, hivyo kufikisha Jumla ya Majaji 146 na Mahakimu…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria Nchini Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro amemtaja Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bwana Eliakimu Chacha Maswi Kama Miongoni mwa Makatibu wake bora kabisa aliowahi kufanya nao kazi serikalini kutokana na kasi, umahiri na mageuzi mbalimbali ambayo amekuwa akiyafanikisha kwa muda…
Posted:
Wizara ya Katiba na Sheria kupitia kwa Waziri Dkt. Damas Ndumbaro imeomba kuidhinishiwa na Bunge la Tanzania Jumla ya Shilingi Bilioni mia sita themanini na saba, milioni mia sita tisini na nane laki nne na themanini na tisa elfu kwaajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo kwa mwaka ujao…