Video
Posted:
Katika juhudi za kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wote, WLAC (Women's Legal Aid Centre) inaendelea kusimama bega kwa bega na wananchi wa Dar es Salaam kwa kutoa elimu na msaada wa kisheria bure kwa makundi mbalimbali katika jamii.
Kupitia programu hii ya kipekee:
✅ Wananchi wanapata uelewa juu ya…
Posted:
Adhabu hizi husaidia kupunguza msongamano wa magereza, kuokoa rasilimali za serikali, na kurejesha wahalifu kuwa raia wema.
👨⚖️ Je, Tanzania inatekeleza mfumo huu ipasavyo?
🎯 Jifunze namna mfumo wa sheria unavyolenga haki na si kisasi.
🔔 Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili kupata…
Posted:
Mbagara, viwanja vya Maturubai vimewaka moto wa haki! Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za kisheria imefika kwa wananchi kutoa msaada wa kisheria na elimu juu ya haki zao za msingi. Wananchi wamejitokeza kwa wingi kupata huduma za bure ikiwemo…
OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA IMEUNGANA RASMI NA (MSLAC) KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA.
Posted:
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imeungana rasmi na Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam.
Kupitia ushirikiano huu, wananchi sasa wanapata fursa ya:
⚖️ Kupata ushauri wa kisheria moja kwa moja kutoka kwa waendesha mashtaka
⚖️…
Posted:
Mwananchi aliyeguswa na huduma za msaada wa kisheria zinazotolewa na Samia Legal Aid Campaign (MSLAC). Mwananchi huyu anatoa maoni ya wazi kuhusu umuhimu wa elimu ya kisheria kwa jamii na anasisitiza haja ya huduma hizi kuwa endelevu kwa manufaa ya wananchi wote – hususan wale wa kipato cha chini…
Posted:
TAWLA (Chama cha Wanawake Wanasheria Tanzania) wameungana na Kampeni ya Mama Samia ya Huduma na Msaada wa Kisheria (MSLAC) katika viwanja vya Mbagala Maturubai, jijini Dar es Salaam, kutoa msaada wa bure wa kisheria kwa wananchi.
Katika tukio hili, wananchi wamepata nafasi ya kuelimishwa kuhusu…
Posted:
Katika kuunga mkono Kampeni ya Huduma na Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamejitokeza kwa wingi kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mbagala-Maturubai. Kupitia moyo wa kujitolea na weledi wa taaluma yao, wanachuo hawa wameleta matumaini mapya…
Posted:
MSLAC kwa ushirikiano na Wizara ya Ardhi wametoa hati za viwanja bure kwa wananchi Mbagala, Dar es Salaam. Huduma hii imesaidia watu kupata haki zao za ardhi haraka na bila malipo yoyote. Tazama tukio hili muhimu!
Posted:
Mama aliyenyimwa haki ya kuwaona watoto wake kwa muda mrefu baada ya kuachana na mumewe, hatimaye apata faraja kupitia msaada wa kisheria kutoka MSLAC. Tazama jinsi haki ilivyotendeka!
Posted:
Katika kuunga mkono juhudi za Mama Samia kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria (MSLAC), BRELA imejitokeza rasmi kushiriki kwa kutoa elimu na huduma za kisheria bure kwa wananchi kuhusu usajili wa makampuni, majina ya biashara, na masuala mengine ya kisheria ya uendeshaji biashara.
Kupitia…
Posted:
MSLAC (Mama Samia Legal Aid Campaign) yaendelea na dhamira yake ya kuwafikia wananchi moja kwa moja! Safari hii, imewafikia wafanyabiashara wa masoko mbalimbali jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwapa elimu ya kisheria kuhusu haki zao, wajibu wao, mikataba ya kibiashara, uandishi wa wosia, na…