Skip to main content

Video

Posted:
Wananchi wa Arusha waliokuwa kwenye mgogoro wa ardhi ya mirathi kwa zaidi ya miaka 10 hatimaye wamepata suluhu ya kudumu kupitia huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia – MSLAC. Mgogoro huo ulitokana na msimamizi wa mirathi kuuza eneo la urithi kinyume na makubaliano ya familia. Baada ya…
Posted:
Katika video hii, tunakuletea simulizi halisi kutoka kwa wananchi walioguswa moja kwa moja na kampeni hii ya kitaifa inayolenga kuhakikisha kila Mtanzania anapata haki yake kwa wakati, bila ubaguzi wala gharama. Kampeni hii imekuwa mwanga kwa maelfu ya wananchi katika mikoa mbalimbali, ikileta…
Posted:
Wizara ya Katiba na Sheria imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) kwa mafanikio makubwa baada ya kutoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi 4,133 – wakiwemo wanaume 1,925 na wanawake 2,213. Kupitia banda lake, Wizara ilitoa elimu kuhusu haki za…
Posted:
Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amepokea zaidi ya malalamiko 1,900 kutoka kwa wananchi waliomiminika kwenye Banda la Katiba na Sheria kutafuta msaada wa kisheria. Wananchi walieleza changamoto zao mbalimbali zikiwemo…
Posted:
Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba 2025), Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ameendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya kusogeza huduma za kisheria karibu na wananchi kwa kusikiliza na kutatua migogoro ya wananchi papo kwa papo. Katika video hii, utaona jinsi…
Posted:
Katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam, wahudumu wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) wameendelea kutoa msaada wa kisheria bure kabisa kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali. Wananchi waliotembelea banda la MSLAC wameeleza kufurahishwa na…
Posted:
Wanasheria na maofisa wa MSLAC wanaendelea kutoa huduma kwa moyo wa kujitolea, wakitoa ushauri wa moja kwa moja kwa wananchi, huku wakihamasisha utatuzi wa migogoro kwa njia ya maridhiano. #mslac #hakikwawote #daressalaam #samiasuluhu #siondototena #msaadawakisheria
Posted:
Maelfu ya wananchi wamejitokeza katika banda la MSLAC katika Viwanja vya Sabasaba ili kupata elimu juu ya haki zao, masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira na ukatili wa kijinsia – yote yakitolewa bure na wataalamu wa sheria.   #hakikwawote #mslac #msaadawakisheria #siondototena #…